wewe kama upo kwenye hiyo field apply tu, hiyo experience ni mikwara tu. mwisho wa siku ni lazima aajiri, hawezi kusema amekosa mtu. kuna wakati kazi zinatangazwa wanataka mtu mwenye masters, lakini wanaapply wenye bachelor tu na mmojawapo anapata.
Serikali ya kifisadi, kila aliye kwenye mfumo ni fisadi, hata tukikuweka wewe kuwa waziri wa elimu katika mfumo huu wa kifisadi you will be induced. Tunachotakiwa kufanya kwaza ni kubadilisha huu mfumo kwa kuingiza mwingine ndipo tutaona mabadiliko. Bado tuna nafasi 2015.
Hiyo biashara unatakiwa uwe na mtaji, asikudangaye mtu. nilifanya kidogo forever nikaacha. wakati unaanza lazima uwe na mtaji wa kununu pruducts zao then ukauze. uwe na nauli ya kutosha kuzungukia wateja wako. Mafanikio yataanza kuonekana baada ya wewe kuuza products nyingi na kuwaingiza watu...
natafuta kazi ya civil engineer part time in dar. nina uzoefu kwenye miradi ya maji, nyumba na barabara. tafadhali kama kuna mtu anajua kampuni inayotafuta engineer anijulishe
akikutongoza kama hujaoa, muombe Mungu inawezekana ndiyo anakuonyesha kilicho bora ila kama umeoa kimbia maana atakuwa ndiyo chanzo cha kuvunjika ndoa yako.Atakusumbua huyo? utajuta kumkubali.
sidhani partner wa kampuni kama anatafutwa namna hiyo. unaweza kumpata akakuchefua ukajuta kwanini ulimtafuta. cha msingi tembelea wenzio wenye biashara kama yako ukajifunza challenges wanazopata. kama ni partner unampata huko huko. otherwise uza hisa uajiri management ili kuwe na transparency...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.