Natafuta share holders.kampuni inanishinda

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Natafuta mtu/watu wa kuingia nao ubia kwenye kamapuni yangu ya usafirishaji inaitwa Smart town trans. Is the big and win win business kwa maelezo/mawasiliano
0713-810857
 
Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
84
natafuta mtu/watu wa kuingia nao ubia kwenye kamapuni yangu ya usafirishaji inaitwa smart town trans. Is the big and win win business kwa maelezo/mawasiliano
0713-810857

duh mara hii imekushinda? Maana ni juzi juzi tu nilikuwa naona mawakala wa hii kampuni wakitafuta wateja katika maofisi na mpaka ofisini kwetu walifika, sasa mara hii kampuni imekushinda? Kazi kwelikweli tutafika kweli na ujasiriamali wa kibongo.
 
imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Isue ya biashara ni vigumu kukwambia kwa text nini kilinishnda cha muhimu kama uko tayari nitafute tukae nikupe A-Z ya hiyo compuni na nini ama wapi tunaendeleza.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,271
4,541
Appoint directors outside your family na wewe ukubali wao wasimamie kampuni kwa niaba yako
 
imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Yap ni kweli kaka ila ilikuwa na plan ambazo hazijafikiwa effective tht why am looking so some one si unajua solepropietorship cha msingi kampuni ipo ila inahali mbaya na inaniumiza sana kichwa if you want it or you have someone let him/her come
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,006
7,182
Kulingana na makos yfuatayo uliyoyafana kwenye thread hii, nitakupa ushauri:
1. Umekiri kua kampuni imeushina.Hakuna mtu anayependa kushirikian na loosers katika uwekezaji. Hii itafanya iwe vigumu kupata mbia.
2. Hujatoa tarifa zozte zitakazoweza kumuongoza prospective partner katka kufanya at least maamuzi ya awali ya kuwasiliana na wewe. ivyo basi jiandae kuwa yule atakaykupigia simu atakuwa ni looser ambaye haafuti mbia ila yuko too afraid to handle his or her own maters na antaka tu kudadia mgongoni kako, that way kampuni yako itatetereka zaidi.
3. Umeshindwa hata kusema kampuni ilipo. Unaweza kujikuta wanaokupigia simu ni watu walio Kigoma tu!

Ushuri:

1. Kitendo cha kuanzisha biashara ni ujasiri. Tumia ujasiri uliokuwa nao wakati unaanzisha biashara kuhakikisha kuwa unasonga mbele. Kamakuna matmaini makubwa ulikuwa nayo awali fanya adjustments zitakazoendana na reality uliyoikuta kwanye field.
2. Tumia lugha positive unapoizungumzia biashara yako. Badala ya kusema "kampuni imenishinda" ungeweza kusema "natoa fursa uwekezaji ndani ya kampuni yangu".
3. Take some time to read some business concepts.

Regards
 
imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Ahsante sana kwa ushauri wako na upeo wako hapo ndo mwisho wa kufikiri umejitahidi sana.
Pia nashukur kwa wale wako tayar kupata taari umewa degread,ila i wish watakuwa wise zaidi yako.inashindwa kujiendesha,tanesco,dawasco,uda,urafiki na watu wamewekeza itakuwa mimi ila usijali huu ni mtazamo wako na wewe ni greater thnker wa jamii? du hongera.
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,735
9,116
Yap ni kweli kaka ila ilikuwa na plan ambazo hazijafikiwa effective tht why am looking so some one si unajua solepropietorship cha msingi kampuni ipo ila inahali mbaya na inaniumiza sana kichwa if you want it or you have someone let him/her come

mkuu unatafuta partners au? Hivi sole propietors wanaruhusiwa kuuza shares kweli?
 
imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Natafuta patner mkuu.
Ingawa under business law solepropretor hawezi kuuza share mpaka abadili mfumo tht why mimi nataka patner then itachange frm sole to patrnership company.
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,735
9,116
Natafuta patner mkuu.
Ingawa under business law solepropretor hawezi kuuza share mpaka abadili mfumo tht why mimi nataka patner then itachange frm sole to patrnership company.

badilisha tittle ya thread.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,006
7,182
Ahsante sana kwa ushauri wako na upeo wako hapo ndo mwisho wa kufikiri umejitahidi sana.
Pia nashukur kwa wale wako tayar kupata taari umewa degread,ila i wish watakuwa wise zaidi yako.inashindwa kujiendesha,tanesco,dawasco,uda,urafiki na watu wamewekeza itakuwa mimi ila usijali huu ni mtazamo wako na wewe ni greater thnker wa jamii? du hongera.

Ushauri mwingine,
Jifunze kutmia lugha ya kirafik na kuwa straightforward. Kwa mfano, hapa unaonekana umechukizwa na post yangu au rather haijakufurahisha lakini hujasema specifically kitu gani hujakipenda. Hii inaweza kufanya your perspective partner apate picha mbaya juu ya utayari wako wa upokea mawazo tofuti.
Samahani kama nimekuoffend, lakini lengo langu ni kushare kidogo ninachokifahamu.
by the way: hapo sio mwisho wangu wa kufikiria.
 
Soso J

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
1,975
1,213
kaka umempa kila ambacho biznes yoyote inahitaji....hasante saaana kwa elimu nzuri
 
Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
84
Kajamaa kanatafuta msaada halafu kanakuwa na lugha za kukereketa, sasa sijui hao partner watakubali kufanya nako biashara si kataleta madharau haka?
 
peter mashaka

Member
Sep 9, 2011
11
3
sidhani partner wa kampuni kama anatafutwa namna hiyo. unaweza kumpata akakuchefua ukajuta kwanini ulimtafuta. cha msingi tembelea wenzio wenye biashara kama yako ukajifunza challenges wanazopata. kama ni partner unampata huko huko. otherwise uza hisa uajiri management ili kuwe na transparency kwenu.
 
Straight corner

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
385
131
Ahsante sana kwa ushauri wako na upeo wako hapo ndo mwisho wa kufikiri umejitahidi sana.
Pia nashukur kwa wale wako tayar kupata taari umewa degread,ila i wish watakuwa wise zaidi yako.inashindwa kujiendesha,tanesco,dawasco,uda,urafiki na watu wamewekeza itakuwa mimi ila usijali huu ni mtazamo wako na wewe ni greater thnker wa jamii? du hongera.
C'mon men!!!!
Kwa stail hii utafukuza wengi, lugha yako sijaipenda! Endelea kujaribu!
 
Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
umepewa bonge la ushauri na zemacropolo, lakin ulivomjibu inasikitisha, nadhan ndo maana hio kampuni imekushinda... Huna lugha ya biashara wewe. Unatafta msaada alafu unajifanya unajua tena, hebu tutake radhi
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom