maisha bora kwa kila mtanzania mbona ipo jamani wandugu!
Lazima ujue kuna,
Mtanzania na Mwananchi
jiulize wewe upo kundi gani ukijua huwezi kupata shida wala kuuliza maana aliadi kwa Mtanzania na sio kwa Mwananchi!
Sifa za Mtanzania;
ana visa card,kusafiri nje ya nchi wakati wowote...
kweli kabisa ata itambulishwe kodi mpya za wanaomiliki vitu kama redio,simu(mobile phone) na TV ili iweze kusaidia na kuboresha maisha ya watanzania
hasa katika suala la nishati,gesi na mafuta ili iongeze nguvu kwa wawekezaji kwa maendeleo ya watanzania
kaka hilo ni la msingi na la kweli,maana watu siku izi kila mtu,mwenye mali ni freemasoon ata shetani anatucheka hawa wana wanasomething wanafanya behind the scene we have to be serious and careful with them!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.