Esta Bulaya mama unautesa moyo wangu

Esta Bulaya mama unautesa moyo wangu

kweli kila mtu ana moyo wake na ndio maana anapenda kwa syle yake...hapa umependa nini mkuu?

hapo maongezi naona yalikuwa hizi

jamaa: sasa mama unasemaje kuhusu ombi langu

mamaa; ucjali nitakupa jibu zuri kesho.
 
Kila nikimpigia simu nimueleze ya moyoni hapokei,nikituma sms hajibu,nimejaribu ku mrequest fb sijaona responce yoyote,au nichukue kadi ya ccm nijiunge na UVCCM ndio unielewe?

MH.ESTA ukinikubali kesho ntakupeleka nyumbani ukamuone mama.

We najua unatamani vijisenti vya posho ya ubunge. Onana na Spika atakuunganisha.
 
huyo anaitwa mh catherine wa atown! kuhusu kuuza ki rav 4 chako huyu huwa anamiliki range rover sport! i guess atakuwa anasaidiana na regina mamvii wa mondul... kama first lady 2015


.....duuh na haka ka mshahara ka ualimu..!! acha wenye nazo waendelee kula mavitu mazuri mazuri.
 
Du! wanaume wakianzisha thread ya kumpenda lady, ladies wa humu kimya wanapotea, sijui kwa nini hamwasaidii wenzenu namna ya kufaulu katika changamoto zao jamani?
 
mbona wakawaida sana, au ndio kipenda roho ula nyama mbichi,

1003997_583168421706208_57433619_n.jpg
 
Unamtaka huyo Cathy?


Ashukuriwe Muumba kwa kazi hii.
Nimesoma hapo juu kwamba mamie ana Range Rover Sport, nadhani kwa mie ninaetumua Carina Ti imekula kwangu. Kisu butu kama mwenzangu hapo juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom