Recent content by peter chalz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wakulima na wafugaji Manga,Tanga: Rais Magufuli atoa wiki 1 Hakimu Laizer awe amehamishwa kituo cha kazi

    Ungejua wala usingesema watu wanavoteseka but mahakim hawajali wanaangali rushwa tu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi azidiwa na kukimbizwa hospitali baada ya mwalimu kumchapa viboko 10

    Mbona zamani tulikuwa tunachapwa zaid hata ya hivo viboko? Watoto wa siku hizi nao shida. Nishawahi kuchapwa zaid ya viboko kumi mimi. Hatuwezi kujua mwanafunza alimfanyia nini mwalimu?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Mbona anajifanya sana yeye kama mungu. Too much is harmful mechoka. Sio lazima ukamatwe ndo umake headlines, kuna vitu vingi sana vya kufanya. Jimboni kwake anaenda kweli?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Kapewa kidogo huyo sio bure. Ila ngoja tuone koz kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho, na haki huwa haipotei. Transparency ni kitu muhimu sana. Nadhani mtakuwa mmenielewa.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

    Wema ana influence gani? Naona matangazoo mengiiii kumhusu yeye. Eti kahama ccm kahamia upande wa pili. Bora kukaa kama sisi ambao hatuna mlengo wowote
  6. P

    JamiiForums Tanzania Sio ukabila,ni kutaka kujua tu

    Wasukuma oyeeeeee!
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa mume wangu ni kikwazo cha ndoa yetu

    Aiseee tunaelekea wapi??
  8. P

    JamiiForums Tanzania CV ya Titus Mlengeya Dismas Kamani

    Majanga!!
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Si kosa lake mwanaume ndivyo alivoumbwa!!
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    Hii inatisha but hakuna jinsi twendeni ivoivo tu ndo maisha yetu!!! Kinachowasumbua ni tamaa tu na si kingine!!!
Back
Top Bottom