Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

ukahaba above average kwa vijana wetu ni matokeo ya umaskini wa kutisha na tofauti kubwa ya kiuchumi na hali ya maisha kati ya matabaka. tusishangae matokeo, tujishangae kuendelea kulala.
Mashuleni, vyuoni, maofisini, mitaani na majumbani hali ni hiyo hiyo.
 
nimeandika kitu ambacho nimeshangazwa nacho, hivyo kama kuna watu wameshanganzwa nacho labda walikuwa hawajui, pia wao watashangaa...ila kama wewe ulikuwa unalijua hili kabla, au pengine na wewe ulishajiuza sasa nimekutonesha kidonda au nimekusema kwenye ukweli, nisamehe....

wewe ndo utakuwa ushajiuza maana utaijua je ngoma usiyoicheza?
 
Sizinga kweli Majanga mbona majanga
sijui kwanini huyu jamaa yako Ubungoubungo asiende pale Uwanja wa Fisi Manzese ziko za jero maana hizi za IFM ni buku 5 hadi buku 20, Watu wanajiheshimu na wanatoka na magari tena usiku yeye anashangaa hii kitu ni Nature toka kwa GOD mwambieni aje ashangae Mjengoni hapa Dodoma kuna
 
Last edited by a moderator:
hakuna mwanafunzi wa kike wa vyuo vya juu asiyeuza papuchi, hata kwenye ndoa watu wanauziwa papuchi sijui kinachokushangaza ni kitu gani?
 
unakimbilia madenti wakati umeiacha mijimama yako huko ofisini wanaojiuza pia.
 
Siyo vizuri mtu anapotoa lile liloko kichwani mwake kulikandia bila sababu za kimsingi. Kwani kujiuza ni sifa nzuri kwa dar? Mbona jamaa anaonekana mgeni wa jiji kisa yeye kupata uhakika wa juu ya kujiuza kwa wanafunzi wa IFM? Maana yake ni kwamba yeye alikuwa anasikia tu ila alikuwa hajapata uhakika sasa kapata. Siyo vizuri kutolea majibu ya kebehi kama vile alichosema ni matope.
 
Ko wewe unapongeza swala la kujiuza??? Ubaya wa alichokiona na kukisema nini. Kumbuka amesema alikuwa haamini sasa ameamini. Kama juu ya 'mijimama' anajua na anaamini kama wapo wanaojiuza atawaongeleaje kwa maneno sawa na aliyoyatumia?
 
unakimbilia madenti wakati umeiacha mijimama yako huko ofisini wanaojiuza pia.
Ko wewe unapongeza swala la kujiuza??? Ubaya wa alichokiona na kukisema nini. Kumbuka amesema alikuwa haamini sasa ameamini. Kama juu ya 'mijimama' anajua na anaamini kama wapo wanaojiuza atawaongeleaje kwa maneno sawa na aliyoyatumia?
 
ukahaba above average kwa vijana wetu ni matokeo ya umaskini wa kutisha na tofauti kubwa ya kiuchumi na hali ya maisha kati ya matabaka. tusishangae matokeo, tujishangae kuendelea kulala.
Mashuleni, vyuoni, maofisini, mitaani na majumbani hali ni hiyo hiyo.
maisha kila kukicha ni bora ya Jana..
 
unakimbilia madenti wakati umeiacha mijimama yako huko ofisini wanaojiuza pia.

sion km ulikuwa na cha kukasilika kwa alivyosema jamaa, nae si Katia yake ya moyoni..Km na ww unaona ya majimama inakuuma post tuchangie, maana hv inaonekana km kakugusa pabaya sana....hahaaaaaa..poleee
 
Hii inatisha but hakuna jinsi twendeni ivoivo tu ndo maisha yetu!!! Kinachowasumbua ni tamaa tu na si kingine!!!
 
Nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama wanafunzi wa ifm ili wapate soko la hasha, ni wanafunzi wa ifm, aisee, wanajiuza laivi. nilipiga picha kuwa, hao ndio wafanya kazi wetu wa mabenki hao, watu wengi kwenye mabenki wamepitia hapo na hivyo ukiona wanawake wazuri kwenye counter, jua walishawahi kuwa makahaba, hata wavae vizuri vipi....aisee, tz kwisha habari yake....mkiwakuta bank wamependeza unawapapatikia kuwaoa, kumbe walishashambuliwa na nyenyere chini kwisha habari yao...hakika yake wanawake wazuri kumbe sio wale walio wasomi, wasomi walio wengi makahaba tu.

Wewe ndiyo kahaba wa kwanza, kama usingekwenda pale IFM basi hayo yasingetokea, lakini wewe ni muanzishaji na wao wamemalizia.pia si wote wasomao pale ni makahaba tengua kauli yako.
 
Nilikuwa siamini hadi niliposhuhudia laivu. ikifika mida kuanzia saa moja usiku, aisee wanajiuza laivu, na ni wasichana wa ifm, wala sio kwamba wanawake wa mtaani wamekuja pale wakijifanya kama wanafunzi wa ifm ili wapate soko la hasha, ni wanafunzi wa ifm, aisee, wanajiuza laivi. nilipiga picha kuwa, hao ndio wafanya kazi wetu wa mabenki hao, watu wengi kwenye mabenki wamepitia hapo na hivyo ukiona wanawake wazuri kwenye counter, jua walishawahi kuwa makahaba, hata wavae vizuri vipi....aisee, tz kwisha habari yake....mkiwakuta bank wamependeza unawapapatikia kuwaoa, kumbe walishashambuliwa na nyenyere chini kwisha habari yao...hakika yake wanawake wazuri kumbe sio wale walio wasomi, wasomi walio wengi makahaba tu.
Huu umbea sasa......kwanza hayakuhuuuu we jali maisha yako.
 
sikukasirika ila namshangaa anavyowatuhumu hao wanafunzi utadhani wamefanya kosa la ajabu
 
Back
Top Bottom