Recent content by peruu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ngoja niropoke

    Kama kuna mdada au mwanamke amesoma ujumbe huu na haujambadilisha basi hilo litakuwa ni sikio la kufa
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Kuna vitu vya kuvumilia ila sio vya kukera Kama hivyo ulivyovitaja,ni afadhali mtu akuchukie kwa kumwambia ukweli kuliko kukupenda kwa kuyafumbia macho madudu yake
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Yaan mke nimuoe mwenyewe then anikere nivumilie tu?hapana aiseee
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Ni ngumu sana kuwasemea hawa viumbe, Jambo la msingi ukimpata angalau aliyefikia 75% ya vigezo vyako basi huyo mng'ang'anie tu
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke aliyepitia maisha ya kuishi mwenyewe

    Daaaaa mbona tunatishana Tena?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda Evelyn Salt

    Ukuje Evelyn Salt ndugu yetu huku kamoyo kana muhenyeshahenyesha
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

    Leo kazi ipo,
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nakusalimu Mhe. Rais mstaafu, Kikwete

    6.Watumishi kila mwaka walikuwa wanapata nyongeza ya mshahara
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Septemba kwa Watumishi wa Umma...

    Mshahara tayari lakini ni uleule hakuna mabadiliko
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kina baba na kina kaka

    Ulichosema ni kweli lkn ni wanaume wachache sana ambao hufikia hatua hiyo uliyoisema ya kupigana,coz hayo mambo huwa matamu baada ya maridhiano ya pande zote mbili
  11. P

    JamiiForums Tanzania Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Wataalamu washeria watusaidie maana hili ni la kitaalamu zaidi na sio la kiushabiki
  12. P

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

    Wabunge kama hawa nao wakapimwe mkojo maana kwa hali tuliyonayo kama Taifa kipaumbele chetu kwenye katiba si kuongeza mda wa kuwepo kwenye madaraka,kuna mambo mengi yenye umuhimu kwa watanzania wote hayo ndo yakuyapigania na sio kuanza kuangalia matumbo yao tu
  13. P

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tupoooo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. P

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kooo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom