Usioe mwanamke aliyepitia maisha ya kuishi mwenyewe

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nakusihi wewe kijana ambae bado hujaoa, kamwe usioe wala hata kupata wazo la kumuoa mwanamke anae au aliewahi kuishi sijui alipanga akaishi mwenyewe.

No exception wanawake wa hivi wamezoea kuwa na uhuru kupita kiasi, kuwa nae atakupasua kichwa na hata yeye ataona ndoa ngumu maana atahisi anabanwa.

Hawa huwa wamepitia madhila ya kutosha, spoiled to the core. Ukisikia spoiled women ndo hawa. Alafu ni wabishi na wajuaji sana kutokana na misukosuko wanayopitia. Hawana utulivu kabisa wa akili.

Mwanamke aliumbwa awe na usimamizi wa mwanaume aidha mume au baba yake ila kuishi mwenyewe tu haa ha ha haa ha tusibishane kubadilisha wanaume ni moja ya hulka asiyoweza kuikwepa hata kama katoka katika family ya maadili kiasi gani mixa kudanga sanaaa.

Hata awe na uwezo kiasi gani mwanamke kaumbwa kuhudumiwa na wanapenda na kujisikia murua wanapohudumiwa, na wala sio kosa perfectly oky, hata kama ni muhasibu wa kampuni kubwa ila anatamani mtungi wa gesi alipiwe na mwanaume. Kama unbisha point mwanamke yeyote mwenye maisha mazuri unaemjua hata kama anafanya kazi UN afu mtumie vocha uone kama ataikataa tehe tehee tehe tehee.

Sasa hawa mbayuwayu wanaoishi wamepanga uswahilini atakataa kununuliwa mtungi wa gesi na mwanaume na hata sio anunuliwe gesi sijui luku ikikata tu hata kama hela anayo anachuakua sim na kutafuta mwanaume wa kumwomba amnunulie gesi, luku, etc na wanaume are very smart, mwanaume akihudumia lazima atafute upenyo wa kujipoza, na hata kabla hajaudumia lazima awe amethaminisha na kupima alama za nyakati kua huyu anatafunika.

Kuna watakao kuja hapa na kusema ooh hata anaeishi kwa baba yake anaweza kuwa na tabia za kubadili wanaume na kudanga ooh blah blah blah, jamani wote tunajua kua hata siafu anasumu ila haiwezi kulinganishwa na sumu ya nyoka cobra.

Watakuja hapa vibibi vya jf kuleta kelele ila majibu mubashara nimewaandalia. akina cariha Money Penny wote hawa wanaishi wenyewe afu fuatilia hata hulka ya mazungumzo yao wajuaji, wapenda ubishi hivi unaweza kweli kumuoa mwanamke kama cariha na ukajiona wewe unaakili ?

Oa mwanamke anaetoka kwenye nyumba ya baba yake hata kama ana 30 years kuliko kabinti 21 kamepanga kanaishi kenyewe kanajitegemea.

Siku za mbele nitaongelea kuoa mke alieyelewa na mama pekeyake bila baba. Ila yoyo kwa yote usioe single mother anaeishi mwenyewe hata kama anafanya kazi bank kuu.
 
NYIMBO ZA VIJANA NA MISHAHARA YAO YA TZS 300,000.

Verse 1: Oa bikra, bikraaa, bikraaaaaaaaa.

Chorus: Usioe huyu, usioe yule, usioe huyu usioe yule, Vijana tuimbe wote usioe huyu usioe yule, usioe huyu usioe yule×2

Verse 2: Kimbia single mama, single maama, mamaaaaa

Chorus: Usioe huyu, usioe yule, usioe huyu usioe yule, Vijana tuimbe wote usioe huyu usioe yule, usioe huyu usioe yule×2

Verse 3: Aliyepanga usioe, usioee usioeeeeee
 
Kuna manzi alikuwa anaishi geto nikaanza nae mahusiano kiukweli niliona ni mwema sana na anajituma kimaisha!!nyumbani kwao ni watu wa maadili ila wazaz wake wanaishi rombo na ni wastaarabu sana.

Huyu dada kiukweli namuelewa sana lakini huwa napenda kujiridhisha ingawa kuna jambo au mambo yalinishtua sana..
kuna siku alinipa sim yake nikamuekee glass protecta ajab kwa ushamba wake akanipa na pasword.
nilivoeka protecta nikawa nasoma mesej zake ingawa zipo za wanaume wanamtongoza wengine wanamhitaji pia tena wamle hizo hazijanishtua sana km kuna mtu amemsave MCHUNGAJI.

Mchungaji anaelezwa kila jambo na huyu dada yaani kila kitu hadi siri zake hadi watu anaowadai hawatak kumlipa,
mchungaj amekuwa anamuelekeza hadi mambo ya kishirikina kwamba ampe jina langu na lake.
pia achkue kitambaa afutie manii zangu tukishafanya kisha atampa maelekezo!
mwanzon huyu dada tulikuwa tunaishi tuu km kupoozana ila sasahivi nashangaa ameniingia kichwani sana na mimba amebeba..
hakai geto kwake sasahivi yaani mda mwingi yupo kwangu amekuwa wa kupika na kupakua..
kiukweli mi naona ananifaa sana ila baadhi ya mambo yananiweka njia panda..haswa huyu mchungaj anamwambia aache kuwa na mabwana wengi abaki na mi mmoja tuuu..
mwnzoni tunaanza uhusiano ilikuwa hata wanaume wanampigia anapokea mbele yng hata mi nikipigiwa na madem napokea tuu.
ila sasahivi hafanyi hivyo.
naomba na mi ushauri
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nakusihi wewe kijana ambae bado hujaoa, kamwe usioe wala hata kupata wazo la kumuoa mwanamke anae au aliewahi kuishi sijui alipanga akaishi mwenyewe.

No exception wanawake wa hivi wamezoea kua na uhuru kupita kiasi, kua nae atakupasua kichwa na hata yeye ataona ndoa ngumu maana ataisi anabanwa.

Hawa hua wamepitia madhila ya kutosha, spoiled to the core. Ukisikia spoiled women ndo hawa.

Mwanamke aliumbwa awe na usimamizi wa mwanaume aidha mume au baba yake ila kuishi mwenyewe tu haa ha ha haa ha tusibishane kubadilisha wanaume ni moja ya hulka asiyoweza kuikwepa hata kama katoka katika family ya maadili kiasi gani mixa kudanga sanaaa.

Hata awe na uwezo kiasi gani mwanamke kaumbwa kuhudumiwa na wanapenda na kujisikia murua wanapohudumiwa, na wala sio kosa perfectly oky, hata kama ni muhasibu wa kampuni kubwa ila anatamani mtungi wa gesi alipiwe na mwanaume. Kama unbisha point mwanamke yeyote mwenye maisha mazuri unaemjua hata kama anafanya kazi UN afu mtumie vocha uone kama ataikataa tehe tehee tehe tehee.

Sasa hawa mbayuwayu wanaoishi wamepanga uswahilini atakataa kununuliwa mtungi wa gesi na mwanaume na hata sio anunuliwe gesi sijui luku ikikata tu hata kama hela anayo anachuakua sim na kutafuta mwanaume wa kumwomba amnunulie gesi, luku, etc na wanaume are very smart, mwanaume akihudumia lazima atafute upenyo wa kujipoza, na hata kabla hajaudumia lazima awe amesaminisha na kupima alama za nyakati kua huyu anatafunika.

Kuna watakao kuja hapa na kusema ooh hata anaeishi kwa baba yake anaweza kuwa na tabia za kubadili wanaume na kudanga, jamani hata mbu anasumu ila haiwezi kulinganishwa na sumu ya nyoka.

Watakuja hapa vibibi vya jf kuleta kelele ila majibu mubashara nimewaandalia. akina cariha Money Penny wote hawa wanaishi wenyewe afu fuatilia hata hulka ya mazungumzo yao wajuaji, wapenda ubishi hivi unaweza kweli kumuoa mwanamke kama cariha na ukajiona wewe unaakili ?

Oa mwanamke anaetoka kwenye nyumba ya baba yake hata kama ana 30 years kuliko kabinti 21 kamepanga kanaishi kenyewe kanajitegemea.

Siku za mbele nitaongelea kuoa mke alieyelewa na mama pekeyake bila baba. Ila yoyo kwa yote usioe single mother anaeishi mwenyewe hata kama anafanya kazi bank kuu.

Hehehehe hivi umewaza kweli kabla hujaandika
 
Back
Top Bottom