Recent content by personation

  1. personation

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni adui mbaya kwa CCM kuliko adui yeyote waliyewahi kupambana naye

    hapo strategy ya kuiangusha ccm ni Mh Lowasa kuingia UKAWA na kupewa presidential candidate
  2. personation

    JamiiForums Tanzania Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

    wakitaka wenye vitambi utarud? hayo makapi sente ndio kilaki2
  3. personation

    JamiiForums Tanzania Mtambuzi miye: Maswahibu yaliyonikuta wiki iliyopita

    du haya!! ila kaka naona kama umemsifia xana huyo dada!! hope hukuwa na feelings za mchepuko!! ha ha ha, joking! pole xana kaka, huyo mumewe anawivu wa kijing!
  4. personation

    JamiiForums Tanzania Kashfa mpya jeshi la polisi

    "siku za mwiz 39, ya 40 anakamatwa, hii yote inaxababishwa na 10% na undugulization" usilaumu matokeo, dhibiti utokeaji!
  5. personation

    JamiiForums Tanzania Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    further inquiry is needed!
  6. personation

    JamiiForums Tanzania Msimamo uliooneshwa bungeni kuhusu watoto wanaoitwa wa “mitaani” na kisa cha nasra(mtoto wa boksi)

    sijui kama kiongozi yeyote leo angelelewa kwenye maisha magumu ya mtaani angekuwa hapo alipo! ni jambo dogo tu imagine ningekuwa mimi ndio niko ninaomba hela kwenye magar ya vigogo, mvua yangu, jua langu, matusi yangu, hii inajengea taifa laana kwakuwa tunakosea kiumbe hafifu kabisa kisicho kuwa...
  7. personation

    JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    hahaha
  8. personation

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyakazi wanukia makao makuu ya CHADEMA

    siasa tu hiz!
  9. personation

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee Duniani ambayo Wasomi hutundika Shahada zao na kutumikia Ujinga

    me ninadhani haya ni yale mabo ya mtu anakipaji cha siasa(umbea) kwenda kuwa engeneer, au mwenye kipaji cha biashara kuwa lawyer, we should think what is our passion na tusomee hicho tunacho kipenda, nadhan degree zetu zitakuwa worth
  10. personation

    JamiiForums Tanzania Waafrika Bwana!

    Hii xaxa urooo!!!!!!
  11. personation

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kihistoria ya huyu Bwana Harusi

    Hiyo kwel ata mimi nitaoa!
  12. personation

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Morogoro, Iringa, Chadema hawawezi kukwepa lawama

    Kisiasa Tanzania bado tuko nyuma sana hiyo ndio sababu!
  13. personation

    JamiiForums Tanzania Wanaume:utajisiakiaje.......

    Ukisikia ufisadi ndio huo! Kweli baasha wa kwako mwenyewe unamchuna! Hawa ndio wale kuna wa vocha, blackberry, gari, mafuta, karolight. Pole! Ucmpangishie uone? Au wewe unamuonyeshea mawe? Bac akuonjeshe hata kidogo? "PIGA CHINI au unasubiri manyoya"?
  14. personation

    JamiiForums Tanzania Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

    Haya mambo yanaelekea kulekule ya Rutto na Railla Odinga, hapa mimi naona kung'aa kwa Zitto na kukubalika kwake ndio kunakuza chama jamani, 2ache mtimanyongo kama anaweza kuchukua Urais 2015 kwanini 2cmpe nia yetu ni mabadiliko sio unafiki? Kijana kigoma kaonyesha mabadiliko ya dhahiri kabisa...
  15. personation

    JamiiForums Tanzania HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Mbembeleze wewe! Halafu kazi kwa sana!
Back
Top Bottom