Mm ni fundi. Upande wa mbao na chuma. Kwa chuma naweza kusema ni fundi kuchomelea. Pamoja na kupaua paa kwa chuma. Sehemu za biashara na makazi pia. Wall clading kwa Alcobond au Kioo.
Kwa yeyote mwenye kazi namkaribisha.
Namba yangu ya simu ni 0763107373
Karibuni.
Makao makuu mbali.' nenda kwenye ofisi za wilaya uliyopo. Ofisi za mgambo ndo kunahusuka na jkt.
Utapewa majibu bila tatizo. Ila kama ni dar nafasi ni mwez wa saba au sita mwishoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.