abaa4all
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 313
- 290
Habari wanajamvi.
Kama wana GT tunaweza kupata fursa adhimu za ufugaji vyura maji kutokana na soko lake kuwa ni kubwa.
kwa watu ambao washawah kwenda China nikizungumza chura pamoja na soko lake haitawashangaza maana ni chakula pendwa sana katika nchi hyo.
Tanzania sasa kuna ongezeko kubwa la wachina na pia kuna migahawa mingi ya wachina bila shaka soko ni la uhakika hapa pamoja na ukitaka kuwasafirisha pia.
nashukuru sana kuna mdau ameanza ufugaji huu na pia amenitumia picha nikaona nashare na nyiny.
chura anaweza kutumika kama chakula,pia anatumika katika some experiments disections (kwa waliosoma biology A level).
Nia kuleta uzi huu ni kuweza kusaidiana kimawazo jinsi ya kutoka katika hali hii pamoja na kuangalia bidhaa zisizo na mshindani pia zina soko la kudumu na la uhakika.
Nawasilisha wakuu