Recent content by periodantal

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme wangu nampenda sana lakini amepunguza mapenzi na mimi

    Haaahaaa jamanii
  2. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli, hotuba hizi za aliselema hazijengi chochote!

    Mtanyooka tuuu subirini October
  3. P

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuandika thread

    Hee hebu nisubiri
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta

    Sijaelewa ...ww nae yanekukuta au ndio ..
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta

    Haa jamani kumbe ndio ilivyokuwa....pole mkuu
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Kaa nae chini muongee vizuri huenda ww unahisi hajawahi kukuhisi una chepuka kumbe mwenzio kuna wambea au wazushi wanao waonea wivu hivyo anavyopendwa hivyo wanazidi kumtia maneno ndio maana nyumba inawaka moto.sio rahisi haya mambo kuanza tuu bila sababu
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Haaahaaa jamani nyie humu ndani kuna vitukooo.hako kamoja sio mwezi mzima ni kila siku asubuhi:D:D
  8. P

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Mi ni tanga city
  9. P

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Huo wa dharura vigezo vyake ni kama huu mwingine.halafu hiv mtu ukihamia halmashauri nyingine unaweza kuomba kusoma ht kama hujaitumikia kwa mwaka?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Mi pia ishafika mkuu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

    Kama hutojali naomba utufahamishe hizo sign ulizopata za acute HIV
  12. P

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Ni kweli barua zishafika halmashauri.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Hiyo kozi ajira yake ni ngumu saana kwa sasa serikali inaajiri registered nurse (RN)na enrolled nurse(EN)kwa nini usiende kusoma hizo kozi badala ya hiyo medical attendant?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Medical attendant ni msaidizi wa nesi na sio daktari
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

    Yuko busy anakula idd na mwenzako walokutana nae Facebook. ..
Back
Top Bottom