Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi akapewa namba ya mganga na kuhakikishiwa akipiga hiyo namba lazima apate kazi. Hata hela ya vocha alikuwa hana akaomba, kapiga simu na akapewa maelekezo ya kufika ofisini kwa mganga bila kujua anaenda kwa mganga Alipotoka huko kichapo na matusi aliyopata aliyemdanganya hatakaa asahau. Na urafiki wao uliisha siku hiyo.
Ha haaa... Kuna viroja aise
éé£ä¸zæå¯å¯å¯å¢ä¸ªæ¶å
æåèªçºézæé£å¼å££æ¨ã±åæ¥æé£ç«¹zææ¥å¼é zæé竹尸丶é弿¥ç«¹å°¸ zå¼é£å¤§å°¸
zé£å¼å°¸é弿¥åæ:d
kuna mpenzi wangu tumeachana/nimemuacha kama wiki moja iliyopita hivi, sasa amechukua namba yangu na kuiweka kwenye vibao akaviandika MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA SUMBAWANGA na akavitundika kwenye miti nimebahatika kuona kimoja sasa sijui aliweka vingapi!
Sasa napata sana usumbufu napigiwa simu nyingi sana na kutoka Dar es salaam wakidai mimi ni mganga wa kienyeji kama nilivyotangaza!
naombeni ushauri nifanyeje?