Recent content by perico

  1. P

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    naomba kufahamu jinsi ya kuhamisha meter ya luku kutoka chumba cha biashara sehemu moja kwenda nyingine ndani ya kitongoji kimoja... natakiwa niwe na nini na kiasi gani?
  2. P

    Perfume gift set

    Kwa wale wenye uhitaji wa perfume za set za kike na kiume zinapatikana kwa bei ya Tsh.60,000 na Tsh.70,000... Set imekusanya perfumes 2 S/s na L/s na body lotion na shower gelly! Wahi nipm ujipatie
  3. P

    Uandikishaji wa vitambulisho vya mpiga kura, Wahamiaji haramu 2040 wabainika

    Kuna boss wa ofisi town inaitwa ABG ni mkenya anajisifia sana amepata uraia na anafanya kazi bila ya kibali, yani anaitukana serikali kila kukicha coz anafanya vitu vyake kwasababu ya rushwa.
  4. P

    Perfume set

    Kwa wapenzi wa unyunyu pata set ya perfume kwa bei rahisi. Utapata set kamili ya perfume, deodorant, shower gelly na body lotion na kwa wanaume kuna after shave na sabuni. Nipm kwa wenye huitaji.
  5. P

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Utaelewesha vipi ikiwa wewe mwenyewe hujielewi, ndio mana nikakuuliza what's your point!!! Kweli le mburulaz!!
  6. P

    Leo nimetembelea Addis Ababa

    Hao wanatofauti gani na huyu
  7. P

    Wapenzi wa starehe

    Duh unatisha mkuu ni noumerrr
  8. P

    Wapenzi wa starehe

    Haya wapenzi leo alhamisi nimefungua uzi huu tutakua tunajuzana wapi kinajiri nini kwenye masuala ya starches. Anaeona uzi haumfai aruke na kupaa kruuuu sitaki shobo wala jasho la mtu hapa. Nashukuru kwa wadau wenzangu wa kupunguza mastress.
  9. P

    Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

    Napendaga comments zako bure dada angu, mostly huwa kama unasoma mawazo yangu.
  10. P

    December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

    Wema shule gani aliosoma??? Au kujua kingereza ndio shule????
  11. P

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    What's your point bro
  12. P

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Tuheshimiane mkuu ushaanza madharau sasa unanigamanisha na mama ubaya.... Teh teh
  13. P

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Acheni ushabiki zari ni kahaba huko kwao uganda msibabaike na picha za insta, wabongo kwa kushikwa akili.... Yule malaya first grade wema anasubiri pale!!!
  14. P

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Hawakununua waliitest acheni ushabiki maandazi wanapesa lakini sio kama mnavyompaisha nilianza kumfuatilia zari toka april mwaka huu, maisha yake kama wema sepatu mfukoni ana elfu 3 anakuonyesha mbwembwe na kutangaza ana alfu 20.... You know it le "misifa"
  15. P

    Who are real robbers?

    "A little boy asked his mother, "Why are you crying?" "Because I'm a woman, " she told him "I don't understand, " he said. His Mom just hugged him and said, "And you never will.. Later the little boy asked his father, "Why does mother seem to cry for no reason?" "All women cry for no reason...
Back
Top Bottom