Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Mm naulizia gharama za kuweka umeme umbali wa nguzo tatu kiasi gani ?
Wateja wetu wengi wamekuwa wakijiuliza iwapo wamefungiwa mita sahihi kutokana na matumizi yao ya umeme? Ama mita ambazo wamefungiwa ni za Viwandani na kulalamika wanatumia umeme mwingi zaidi tofauti na matumizi wanayotumia

Mita za LUKU zinazofungwa majumbani ni sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ufungaji wa mita za majumbani hutegemea sana upimwaji wa matumizi /mahitaji ya umeme katika nyumba husika.

Mteja anafanyiwa tadhimini kabla ya kuunganishiwa umeme, wakati wa uunganishaji wa umeme inaangaliwa maombi kama Mteja ameomba kufungiwa njia moja (single phase) ama njia tatu (three phase) na haiwezekani Mteja aombe njia moja ya umeme afungiwe njia tatu.

Iwapo matumizi ya umeme ya Mteja yakiongezeka kufika unit 7500 hapo atalazimika kutumia mita za njia tatu (three phase) zenye uwezo wa Volts 400 kutoka mita ya njia moja yenye Volts 220 -250.

Wateja wengi hawafahamu hasa anapo tumia umeme ukafikia units 300 anadhani TANESCO ilikosea kumfungia umeme/mita. Sio kweli, kinachotakiwa ni Mteja kuwa na matumizi mazuri ya umeme ili kupunguza gharama.

Aidha, mita za LUKU za njia tatu kwa baadhi ya Wateja wenye mahitaji makubwa ya umeme wamefungiwa majumbani mwao hasa ambao tangu tathmini inafanyika ilionekana mahitaji ya umeme yatafika units 7500 maeneo mengine ni ya Kibiashara na ambako matumizi ya umeme wa njia moja hautofaa huwa wanafungiwa huo wa njia tatu.

Kwa wastani wa units 10 usiku na 6 mchana maana yake Mteja ana zaidi ya units 300 kwa mwezi yaani 16x30 utapata units mia nne (400) hayo si matumizi madogo, pia yapo mambo mengi ya kuyaangalia linapokuja suala la matumizi ya umeme, cha kwanza hiyo mita iko sahihi? TANESCO huwa inapima mita kulingana na maombi ya Mteja, ikiwa itagundulika kuwa mita ni mbovu Mita hiyo huondolewa eneo la Mteja, na Mteja atasahihishiwa account zake kulingana na kile kipindi mita haikusoma ipasavyo,

Jambo la pili ni Mteja anatakiwa kukagua mfumo wa umeme wa nyumba yake na kuhakikisha hakuna hitilafu (leakage) yoyote inayo pelekea umeme kuvuja na kumuongezea matumizi Mteja (Wiring system) na pia Mteja kuhakikisha earth load iwe shaba halisi.

Tatu ni vifaa anavyo tumia Mteja vina uwezo gani wa kutumia umeme? Nirahisi ku hesabu umeme tunaotumia na kutoa malalamiko kwa TANESCO, na Shirika litafanya ukaguzi ili kubaini matumizi hayo pengine ni sahihi, kila kifaa kina kiasi cha umeme kinachotumia kwa dakika ama masaa kadhaa. Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.
 
Hivi mchakato wa kuunganishiwa umeme unachukua mda gani???.. Ninaishi kiluvya na kwa maeneo yetu huwa tunaunganishiwa umeme na Tanesco Kibaha.. Sasa tangia nipeleke fomu zangu hapo kibaha Kabla ya Xmass had leo huyo surveyor sijamwona wakati waliniambia atakuja ndan ya wik 2.. sasa mnataka tuwahonge ndio mjeee???? Yaan kumpata surveyor imekua shida jee kuunganishiwa sii itakua had nikapge magoti hapo ofisini Tanesco Kibaha.. Kuna haja ya Magufuli kuiangalia Tanesco Kibaha.. Magufuli kama unasoma hizi Reply naomba upitie Tanesco Kibaha.. Utendaji kazi wao unawalakini sanaa.. Labda wananichelewesha ili niwahonge.. Sasa baba naomba pita nao uwatumbue.
 
Magufuli naomba pita nao hawa Tanesco Kibaha maana hawako serious na kazi.. Wakiniunganishia mimi umeme haraka ndan ya zile siku 14 hawaon watakua wanaongeza faida kwa shirika kuliko hivi wanavonifanyia??? Tanesco inabd mjiendeshe kibiashara.. Muwe kama voda au tigo.. Mteja ni mfalme.. Muwe mnaharakisha kuwaungia watu umeme.. msiwe mnamuangusha raisi wetu.. yeye anamawazo mazuri na nchi yetu.. nyie hamtak kupga kazi.. Sasa baba Magufuli sisi wanyonge tunaomba uangalie utendaji kaz wa hapa Tanesco Kibaha.. wanaikosesha tanesco mapato.. inabd mteja awe anatazamwa kwa jicho la biashara kwa maana ninavyomcheleweshea huduma ndivyo ninavyoliingiza shirika hasara.. Sifahama kama hichi kitu Tanesco wanacho
 
Mteja ni mfalme.. Inabd muwe mnajitahid hata ku encourage watu wajiunge na umeme.. muwe mnatoa hata na mikopo wakat wa kujiunga na mteja alipe taratibu kama dawasco wanavyofanya.. Hapa kazi tu.. Magufuli oyeeee! Muchape kazi sio maneno mengi.. muwe wabunifu.
 
Wateja wetu wengi wamekuwa wakijiuliza iwapo wamefungiwa mita sahihi kutokana na matumizi yao ya umeme? Ama mita ambazo wamefungiwa ni za Viwandani na kulalamika wanatumia umeme mwingi zaidi tofauti na matumizi wanayotumia

Mita za LUKU zinazofungwa majumbani ni sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ufungaji wa mita za majumbani hutegemea sana upimwaji wa matumizi /mahitaji ya umeme katika nyumba husika.

Mteja anafanyiwa tadhimini kabla ya kuunganishiwa umeme, wakati wa uunganishaji wa umeme inaangaliwa maombi kama Mteja ameomba kufungiwa njia moja (single phase) ama njia tatu (three phase) na haiwezekani Mteja aombe njia moja ya umeme afungiwe njia tatu.

Iwapo matumizi ya umeme ya Mteja yakiongezeka kufika unit 7500 hapo atalazimika kutumia mita za njia tatu (three phase) zenye uwezo wa Volts 400 kutoka mita ya njia moja yenye Volts 220 -250.

Wateja wengi hawafahamu hasa anapo tumia umeme ukafikia units 300 anadhani TANESCO ilikosea kumfungia umeme/mita. Sio kweli, kinachotakiwa ni Mteja kuwa na matumizi mazuri ya umeme ili kupunguza gharama.

Aidha, mita za LUKU za njia tatu kwa baadhi ya Wateja wenye mahitaji makubwa ya umeme wamefungiwa majumbani mwao hasa ambao tangu tathmini inafanyika ilionekana mahitaji ya umeme yatafika units 7500 maeneo mengine ni ya Kibiashara na ambako matumizi ya umeme wa njia moja hautofaa huwa wanafungiwa huo wa njia tatu.

Kwa wastani wa units 10 usiku na 6 mchana maana yake Mteja ana zaidi ya units 300 kwa mwezi yaani 16x30 utapata units mia nne (400) hayo si matumizi madogo, pia yapo mambo mengi ya kuyaangalia linapokuja suala la matumizi ya umeme, cha kwanza hiyo mita iko sahihi? TANESCO huwa inapima mita kulingana na maombi ya Mteja, ikiwa itagundulika kuwa mita ni mbovu Mita hiyo huondolewa eneo la Mteja, na Mteja atasahihishiwa account zake kulingana na kile kipindi mita haikusoma ipasavyo,

Jambo la pili ni Mteja anatakiwa kukagua mfumo wa umeme wa nyumba yake na kuhakikisha hakuna hitilafu (leakage) yoyote inayo pelekea umeme kuvuja na kumuongezea matumizi Mteja (Wiring system) na pia Mteja kuhakikisha earth load iwe shaba halisi.

Tatu ni vifaa anavyo tumia Mteja vina uwezo gani wa kutumia umeme? Nirahisi ku hesabu umeme tunaotumia na kutoa malalamiko kwa TANESCO, na Shirika litafanya ukaguzi ili kubaini matumizi hayo pengine ni sahihi, kila kifaa kina kiasi cha umeme kinachotumia kwa dakika ama masaa kadhaa. Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.
TANESCO mmetenda haki kwa maada hii kwani sisi wateja wenu ni wengi hatuna elimu ya umeme. Pia nina swali, "leakage" ni nini na kwanini "earth rod" ya shaba halisi tu? Nitajuaje kwamba ni shaba halisi?
 
Chukua fomu tukupimie ndio tukuoe makaridio kwa kuwa kila umbali zaidi ya mita 30 una bei yake, survey inafanyika ndani ya siku 7, 10 au 14 za kazi kwa mujibu wa mkataba wa huduma kwa wateja
Survey tayari zaidi ya wiki mbili sasa. Nitapata invoice ya kulipia lini ? Je nguzo mbili niandae bei gani. Asante kwa ushirikiano..
 
Fika ofisini kuchukua invoice
 
Fika ofisini kuchukua invoice
Eti ni kweli Hamna transfoma za kutosha? Tangu jumanne sijawasiliana na wakwe zangu mkoani Kilimanjaro tatizo nimeambiwa kuna transfoma iliharibika tangu jumatatu hadi haijatengenezwa maeneo ya kiboriloni/msaranga.
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Mpigie me

Mpe taarifa meneja wa Kibaha kwamba cheo ni dhamana asikitumie kwa faida yake binafsi. Kesho anaweza kuamka akakuta hicho kiti kakalia mtu mwenye weledi.
 
Toa taarifa sahihi upatd huduma sahihi mpendwa mteja,

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Kuunganishwa umeme eneo la Kibaha miembe saba nguzo mbili. Makadirio ni sh ngapi ? Naomba jibu kabla sijabambikiwa bill haram na meneja wa Kibaha
 
Toa taarifa sahihi upatd huduma sahihi mpendwa mteja,

MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Mkuu,

Naomba kujua gharama za ujumla za mtu kuweka umeme kijiji kilichopo Njombe.

Kuna uzi wenu mmoja niliona mmeonyesha gharama za nguzo ndani ya mita 30 kwa kijijini ni 177,000/= lakini leo nilipiga huduma kwa wateja (namba nilitoa kwenye uzi wenu) yule dada akasema gharama ya nguzo bila vat ni 150,000/= nikamuuliza gharama za ujumla akasema ni shilingi 770,000/=.

Nikamuomba anipe mchanganuo wa gharama kufikia huko laki saba ikiwa nguzo ni laki moja na sabini na saba. Akajibu ni kwakua hiyo ni njia tatu ila njia moja ni gharama chini ya hapo.

Mkuu, naomba unisaidie hapa, kujua mchanganuo ambao utafikisha hiko kiasi mpaka 770,000/=
 
Gharama utapatiwa mara baada ya kufanyiwa survey na bei ni ile ile kwa vijijini 177000 ndani ya mita 30 na 321000 kwa mijini ikizidi hapo inahitaji nguzo na tutakupa gharama za makadirio kwa maandishi, kama umememaliza wiring chukua fomu tukupimie na kukupatia makadirio ya gharama
 
Nashukuru kwa jibu.

Ni kweli kwamba gharama zinaweza kufika laki saba na kigezo ni njia tatu?

Kuna gharama zingine zaidi ya nguzo?

Zikizidi idadi ya nguzo, gharama ya nguzo ya kwanza itatofautiana na ya pili?
 
Inaweza kufikia hata zaidi ya hapo kam ni zaidi ya mita 30 au njia tatu
 
naomba kufahamu jinsi ya kuhamisha meter ya luku kutoka chumba cha biashara sehemu moja kwenda nyingine ndani ya kitongoji kimoja... natakiwa niwe na nini na kiasi gani?
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Hill siyo tatizo la MTU binafsi in tatizo la ofisi ya meneja mkoa...
 
nilisikiaga mna ruhusu kulipia kidogokidogo kwa mtu anaye hitaji LUKU ya pili kwenye nyumba isiyo na deni?
je ni kweli?
 
Back
Top Bottom