Recent content by pepopunda

  1. P

    Kuna tatizo gani Wizara ya Fedha?

    Itakumbukwa kwamba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 ilipitishwa na Bunge mapema zaidi kuliko ilivyokuwa inafanyika hapo awali. Kusudio la kupitisha bajeti mapema ilikuwa kuziwezesha wizara na Taasisi za umma kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa wakati mwafaka. Hata...
  2. P

    Cyrus Vance hakufanya ajizi kama Magufuli

    Ushauri kwamba Magufuli ajiuzulu ni mzuri lakini kwa hali ya kawaida sio utamaduni wa Kitanzania kujiuzulu.Iwavyo iwe bado Magufuli ataendelea kujipendekeza hata kwa huyo aliyemwonyesha namna serikali inavyoendeshwa.Magufuli kama wapenda sifa wengine Serikalini ni tatizo.Badala ya kuleta...
  3. P

    Magufuri ulisahau kuwa mke mkorofi dawa yake ni kuoa wa pili si kumfukuza

    Tulipomwambia Magufuli kwamba Serikali haiwezi kuendeshwa kibabe kuna waliomwona ni shujaa.Yako wapi sasa majivuno yake na mbwembe nyingi!Ulevi wa madaraka unamsumbua.Alidhani anajijenga kumbe anajibomoa.Pole Magufuli soma alama za nyakati
  4. P

    Ufisadi: Mikakati ya kujichotea mamilioni ya pesa TPA yaandaliwa!

    Wakati wa timua timua ya uongozi wa zamani wa TPA Mh.Mwakyembe alijinadi kwa mbwembwe nyingi kuwa taasisi hiyo ilikuwa imegubikwa na wizi na ufisadi wa kutisha. Aliwahakikishia Watanzania kuwa atachukua hatua madhubuti za kutokomeza maovu yote yaliyokuwepo.Wakati akimtambulisha Kipande kama...
  5. P

    Magufuli,Ubabe katika shughuli za Serikali umepitwa na wakati!

    Mh.Magufuli anatakiwa kujua kwamba Watanzania wa sasa sio wale wa zamani ambao mtu angeweza kuwaburuza atakavyo.Sasa hivi Serikali inaendeshwa kwa misingi ya Utawala Bora.Inashangaza kuona Mh. huyu akitoa majigambo na kumdharau Waziri aliyekuwa ametoa waraka kuruhusu magari yatumiayo barabara...
  6. P

    Polisi karabatini nyumba za maofisa wenu Buguruni zinatia aibu

    Kwa wale wanaojua nyumba za Maafisa wa Polisi pale barabara ya Uhuru Buguruni wataungana nami kwamba mwonekano wa nyumba hizo ni fedheha kwa Jeshi la Polisi. Nyumba hizo zinakaliwa na Maafisa wa ngazi za kati na wengine wa ngazi za juu.Nyumba hizi licha ya kuwa ni za zamani lakini pia...
  7. P

    HIV/AIDS - Deaths (World comparisons)

    Too historical!
  8. P

    Mh.Sitta amekiri Serikali ya sasa ni dhaifu

    Tatizo kubwa ni kwamba hatuna uvumilivu wa kupokea mawazo chanya ya wenzetu.Mtu anapotoa mawazo yake ni vyema tukayatafukari kwa kina na siyo kuyabeza pasipo kutoa hoja.Mzee Sitta anakipa Chama chake changamoto na kuonyesha wapi kimepotoka.Asihukumiwe kwa kumbeza.
  9. P

    Utawala bora mashakani

    Wana Jamii jana nilisikia kilio cha wakazi wa mkoa wa Kigoma wakilalamika kwamba wapo baadhi yao waliokamatwa kwa hisia kwamba sio raia wa Tanzania.Watu hawa walikamatwa vijijini na kupelekwa Kigoma mjini na walikaa chini ya ulinzi wakati wakifanyiwa mahojiano ili kutambua uraia wao.Jambo la...
  10. P

    Je Mwakyembe ni mchapakazi au mwoga?

    Wanaomsifu Mwakyembe hawamjui vizuri.Huyu ni mpenda sifa na mpika majungu anayetisha.Tatizo la Watanzania ni uelewa mdogo na kushindwa kufuatilia yale anayoropoka mkubwa huyu.Aliueleza umma wa Watanzania kwamba amegundua wizi mkubwa wa mafuta bandarini.Akawafukuza kazi viongozi wakuu wa...
  11. P

    Salaam

    Wana jamvi naomba kuungana nanyi katika kujadili mambo mtambuka yanayoihusu jamii ja Watanzania.Nilikuwa ughaibuni kwa muda mrefu na nimekuwa nasoma nyuzi zenu lakini sikuweza kuchangia kwa kutokuwa na taarifa za kutosha na sikutaka kuwa mchangiaji mwenye upeo hafifu.Sasa niko nyumbani na...
Back
Top Bottom