kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,894
- 2,806
Katika taasisi za serikali zizizofanya vizuri ni taasisi zilizo chini ya wizara ya Uchukuzi. Mheshimiwa Mwakyembe kilasiku anafukuza watu tena kwa mbwembwe nyingi lakini ufanisi wa sehem husika hatuzioni.
Mwakajana kafukuza wakurugenzi wa bandari aliyemuweka hajafanya chochote. Ukienda ATCL pale ndo kabisaa alivyo mtoa Paul Chizi na Kumuweka Lazaro yani ni Kandege kamoja tu Kanachoruka.
Njoo TRL kila siku migogoro reli zenyewe hazipitiki. Sasa najiuliza Hizi kelele anazopiga kila siku mbona hatuoni Maendeleo na huku yeye inasemekana ndio jembe pekee lililobaki.
Hii inanipelekea kuhisi huyu jamaa anaogopa Chalenge kabisa.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums