Recent content by Pentium

  1. Pentium

    HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    WANAFUNZI 11,481 WATANGAZWA AWAMU YA PILI YA MIKOPO 2017/2018
  2. Pentium

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    tunatafuta usingizi wa likes.....
  3. Pentium

    wakuu msaada wa haraka tafadhali

    hapo ukienda TCU unajisumbua tu.. watakujibu hatuhusiki basi
  4. Pentium

    Kozi ya Human Nutrion SUA

    Nimekuelewa.:cool:
  5. Pentium

    Kozi ya Human Nutrion SUA

    hilo swali ungeuliza kabla hauja chaguliwa, vingine hapa sahiz unatafuta stress tu, maadamu umechagliwa tayali wew kasome 2. uzur na ubaya utaujua uko uko. KILA LA KHERI.
  6. Pentium

    Waliopata mkopo 2017/18

    Tutakuja ngoja tushughulikie kwanza hizi habari za selection.
  7. Pentium

    What's your favorite movie line/quote?

    "the past is history, the present is past, the future is memory",,,,,,,,..... TRAANSFOMERS _AGE OF EXTINCTION 2014
  8. Pentium

    Natafuta mawakala wa elimu nje ya nchi

    wachek GLOBAL EDUCATION LINK.. ni nawakala wa vyuo vya nje , ofisi zao zpo Sabasaba uwanja wa Maonesho.. kwa mawasiliano wacheki kupitia website yao WWW.GEL.CO.TZ , au no# 0627623713.. Wana ofisi pia Mwanza, mbeya, Arusha ,n.k. NB; NINA UHAKIKA NAO NA SIYO MATAPELI KUNA DOGO WANGU ANASOMA INDIA...
  9. Pentium

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    hata hata St. Joseph pia walikuwa wanafanya maombi bure
  10. Pentium

    Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

    duh...! hata mim naona n kama kweli hv.
  11. Pentium

    Second Round: SUA wameshaachia, ingia kwenye akaunt yako.

    au ndo kutemwa kwenyewwe hawataki tuwasumbue tena..
  12. Pentium

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    msaada jamani.! hv UDOM user name tulikuwa tunatumia nn jina au namba ya 4m 4?? nimesahau.
Back
Top Bottom