Recent content by PENONI NKYA

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA Kulazimisha Marehemu Mawazo Aagwe Viwanja vya Furahisha

    unalolisema ulijui kwamaana ujui n.a. ujitambui,kuna mikutano kila kona nchini arusha kuna mikutMom ano ya kampen lushoto n.a. ulanga iliisha juzi,walishindwa kuzuungumza kwenye hiyo mikutano?tafakar acha kukurupuka
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na Naibu Spika kama atalihimili bunge

    katika siku ambazo nimeudhika ni Leo hadi huyu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UVCCM aishambulia CHADEMA kwenye Hot Mix ya EATV

    Amesema chadema sio chama ila ni Saccos mjinga kweli huyu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania kwa wamachame kila baada ya nyumba kuna mganga wa kienyeji..

    Huo ni uwongo kabisaa tena nadhani machame unapasikia tuu ila ujawahi kufika labda nikutajie Vitongoji vyake ili uniambie wewe ulifika wapi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Makamanda kazini nguvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mtakoma mwaka huu magamba
  6. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kutikisa Mbeya Vijijini

    Njooooo jembe tunakusubiria kwa hari kubwa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kigoma kesho: CHADEMA na NCCR Mageuzi kikaangoni

    Kafulila fanya kazi jembe langu.msiwape ccm nafasi kaka
  8. P

    JamiiForums Tanzania Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

    Wananchi wa mtwara hawana kosa lolote ila serikali ya ccm ilianza vibaya na hata baada ya kujua kwamba wameharibu hawataki kukubali kosa ila kila kukicha ni vitisho na vipigo na wengine kufungwa,ila mwisho wa siku tunarudi pale pale kwamba wananchi wa mtwara wanahitaji elimu kuhusu Raslimali zao...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

    Kunakila sababu yakumshukuru Mungu kwa yoote ambayo tumekutana kuanzia pale tulipo zaliwa mpaka sasa,ila huyu jamaa Nchemba sijui kama Mungu wake ni huyu wetu maana anaroho mbaya kupita kiasi mpaka amesha waambukiza akina Shonza na Mwampamba,ameua sana,anamdomo mchafu,anawabambikizia watu kesi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu aninipa wakat mgumu

    Kwanza maelezo yako hayana mashiko,mpaka anakushika uume? Tayari ushazini hapo,huna adabu hata heshima,kiri dhambi tubu na humrudie Muumba.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu kodi ya Sim Card na Kauli za CCM

    Hallo wana JF ninakila sababu ya kukipenda hichi chama,napenda sana Chadema
Back
Top Bottom