Brother nikushauri yafuatayo!
1. Kama kweli una mienendo fulani kinyume na maadili ya ndoa basi badilika ujenge ndoa yako.
2. Kinyume na hapo, nakushauri acha kila kitu hapo wala usiage. ONDOKA. Hudumia familia hiyo ukiwa mbali nayo.
Amani ya moyo wako ni bora kuliko kila kitu. Mali umepata in...
Hiyo nyumba hapo juu kupaua na blundering lazima maji utaita maaa, huko kwingine kama kafanya taratibu makali ya gharama yanapungua.
10M+ kutoa mara moja sio sawa na 10M+ ilotoka kidogokidogo.
Nakubaliana na wewe mkuu........ kwenye kuezeka tena msouth + blundering ni balaa. Finishing ukiwa na haraka lazima moto ukuingie. Mimi haijawahi nitesa kwa kuwa huwa nafanya polepole mpk nyumba inakamilika.
Huwezi ezeka nusu nusu ila finishing ni wewe tu ukitaka kuumia unaumia kweli ukitaka...
Sidhani kama in busara kuandika hivi, hata kama in kweli ila huna adabu, sio kila kitu cha kuandika hapa, kinywa cha mpumbavu hunena uchafu.
Nenda Cambridge international schools ujue hao unaowaita low IQ uone wanalipwa $ngapi ndo uju upayuke hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.