Recent content by penhe

  1. penhe

    Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Yaani hawajawahi kujiongeza tangu enzi wameendelea na utaratibu huo. Hata vituo vipya navyo kwenye sero hakuna vyoo. Kwanini sero isiwe self kama zilivyo sero za mahakamani?
  2. penhe

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Inawezekana hakutaka kuelewa. Ameelekezwa amlipie mtoto 200/ hakutaka. Mfanyakazi anasimamia maelekezo mama anasema atampakata
  3. penhe

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Kwenye mwendokasi Watoto wa miaka 5 na kuendelea wanalipia hiyo 200/ tofauti na kwenye panton ambapo wanafunzi wanapanda bure. Wangemuelewesha tu. Sema kwakuwa na Dada mjamzito hakuwa na mpango wa kulipa hiyo 200/ ndiyo maana yakatokea hapo.
  4. penhe

    PreGE2025 Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Ni bunge la upande mmoja kwahiyo hayo yategemee.
  5. penhe

    Yahusu kampuni ya uuzaji viwanja mkoani Dodoma, Land Netwotk

    Walifanya hilo kwa ubia na Dodoma Jiji.
  6. penhe

    DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Wanachoweza kufanya ni gharama zote zinazofuata zikatwe kwenye hela wanazodai mpaka watakapomaliza. Watadai Baki Kama itakuwepo. Hela huwa ni rahisi kuingia, kutoka kwake ni changamoto.
  7. penhe

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Waliondoka wakaenda jihusisha na siasa kitu ambacho hakiruhusiwi kwa watumishi wa umma, washukuru walipewa likizo ya mwezi mmoja circular iliyopita wangekoma utumishi kabisa. Weka siasa pembeni.
  8. penhe

    Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    Walitakiwa wampangie Nyumba mtumishi wao na sio kubadili ofisi kuwa Nyumba ya kuishi labda Kama jengo lingekuwa na nafasi kubwa kuweka ofisi na makazi.
  9. penhe

    GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Hayo Hayo ni mawazo yako. Nao walipongeza sababu waliowaweka kugombea hawawezi mtikisa Magufuli, wale ambao hawajafika hapo ndio wanaweza itikisa CCM uchaguzi huu ukiwa tu Ni huru na haki.
  10. penhe

    GE2020 Rais Magufuli avitaka Vyombo vya Ulinzi kutotumia nguvu pasipostahili wakati wa Kampeni na Uchaguzi

    Anaweza sema hivyo Ila katika Hali ya wao kujipendekeza wakafanya anachokataza.
  11. penhe

    Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

    Unatakiwa kuwa royal kwa Kiongozi wa serikali hasa pale unapokuwa mtumishi wa umma
  12. penhe

    Mkurugenzi halmashauri ya Malinyi akataa gari ya milioni 100, asema fedha zijenge zahanati

    Mwenyekiti wa halmashauri yeye hanunui maana unakuta meyor anayeonekana ofisini siku ya alhamis ana shangingi raia wanakosa Maji au zahanati. Kafanya jambo zuri mkurugenzi. Kama kuna Gari la kumfikisha mahala anakohitajika hakuna haja ya kununua lingine
  13. penhe

    EWURA haina msaada kwa Watanzania, bora ifutwe tu

    Kama walipita kwa wadau Na wadau wakapinga walitumia vigezo gani kuidhinisha ongezeko hilo la 8%? Kwamba rais kadanganya au hata wadau wakikataa wao EWURA wakiona kuna ulazima wanaongeza? Eti mvua zimekuwa chache na hivyo umeme utanunuliwa kwa bei kubwa kwahiyo kuweka mapato sawa wanarudi kwa...
Back
Top Bottom