EWURA haina msaada kwa Watanzania, bora ifutwe tu

unakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.

kwa hiyo kupandisha mapato ya nchi ni kupandisha bei ya mafuta wakati kwenye soko la dunia mafuta yameshuka? acha kufikiria kama zama za awamu ya nne ya kutegemea chanzo kimoja tu cha mapato..think big..use your brain..
 
Hivi umejua ulichokiandika kweli yaani lowassa aliona mbali ELIMU ELIMU ELIMU
unakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.
 
Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizopo EWURA walifuata taratibu zote za muhimu katika kuridhia kupandisha bei ya umeme, ambapo hapo awali TANESCO walitaka ongezeko la 18% lakini hatimaye baada ya mchakato EWURA walikubali ongezeko la umeme kwa 8.5%.

Kwa Mtendaji Mkuu wa EWURA tangazo la ongezeko hilo lilikuwa ni la kawaida kama ambavyo huko nyuma wamekuwa wakiongeza ama mara nyingine kupunguza bei za umeme, maji, gas, mafuta n.k

"Wakati huo" huko nyuma walifanya kazi kwa mujibu wa taratibu na bila kufikiri athari za nini kitatokea kwa maamuzi wanayo yafanya lakini baada ya tamko lao la jana la kupandisha bei ya umeme na matukio yaliyofuata baada ya tangazo hilo ni wazi kuwa kwa sasa taasisi hii imebaki kwenye "dilema" hawajui kama walikose ama walikuwa sahihi.

Nina mashaka kama kuna umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa taasisi hii kwani kwa sasa hawawezi tena kuwa huru wala hawawezi kufanya kazi kitaalamu na ufanisi bila ku"consult" wanasiasa na wale waliowateua.

Ni maombi yangu kwa Mh. Raisi aangalie upya kama kuna umuhimu tena wa kuwa na taasisi kama EWURA maana kama maamuzi yanayofanywa na EWURA yanawezwa kutenguliwa tu kwa tamko la Waziri ni bora kazi za EWURA zikawa zinafanywa na kitengo tu cha wizara ili kuokoa kodi nyingi tunazotozwa bila sababu za msingi.

Nawatakia heri ya mwaka mpya 2017.

Kinyungu
 
Yawezekana EWURA wanakuwa driven na siasa
 
Aheri kuwafuta Kama hawana tija kwa maisha ya watz. Mashaka wamejipa wenyewe.
 
Hawamu ya vituko hii kila kiumbe chao kitafanywa kituko tu hata wale fisi wanaoshangilia hata upuuzi kila siku
 
Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizopo EWURA walifuata taratibu zote za muhimu katika kuridhia kupandisha bei ya umeme, ambapo hapo awali TANESCO walitaka ongezeko la 18% lakini hatimaye baada ya mchakato EWURA walikubali ongezeko la umeme kwa 8.5%.

Kwa Mtendaji Mkuu wa EWURA tangazo la ongezeko hilo lilikuwa ni la kawaida kama ambavyo huko nyuma wamekuwa wakiongeza ama mara nyingine kupunguza bei za umeme, maji, gas, mafuta n.k

"Wakati huo" huko nyuma walifanya kazi kwa mujibu wa taratibu na bila kufikiri athari za nini kitatokea kwa maamuzi wanayo yafanya lakini baada ya tamko lao la jana la kupandisha bei ya umeme na matukio yaliyofuata baada ya tangazo hilo ni wazi kuwa kwa sasa taasisi hii imebaki kwenye "dilema" hawajui kama walikose ama walikuwa sahihi.

Nina mashaka kama kuna umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa taasisi hii kwani kwa sasa hawawezi tena kuwa huru wala hawawezi kufanya kazi kitaalamu na ufanisi bila ku"consult" wanasiasa na wale waliowateua.

Ni maombi yangu kwa Mh. Raisi aangalie upya kama kuna umuhimu tena wa kuwa na taasisi kama EWURA maana kama maamuzi yanayofanywa na EWURA yanawezwa kutenguliwa tu kwa tamko la Waziri ni bora kazi za EWURA zikawa zinafanywa na kitengo tu cha wizara ili kuokoa kodi nyingi tunazotozwa bila sababu za msingi.

Nawatakia heri ya mwaka mpya 2017.

Kinyungu
Mkuu mbona unajifanya huelewi unaishia kulaumu waziri. Ni hivi mkurugenzi wa EWURA alitakiwa kabla ya kutangaza hilo ongezeko ayawasilishe kwa waziri husika sheria ndio inavyomtaka, sasa yeye alitangaza kwanza ndio akayawasilisha kwa waziri ni kosa la nani gapo? kumbuka pia yule Mtoto wa Malecela alitumbuliwa kwa kosa kama hilo
 
Wataziua taasisi za sirikali tutaumia sisi wenyewe
 
Ni mwendo wa kusomeshana tarakimu tu.
 
Kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizopo EWURA walifuata taratibu zote za muhimu katika kuridhia kupandisha bei ya umeme, ambapo hapo awali TANESCO walitaka ongezeko la 18% lakini hatimaye baada ya mchakato EWURA walikubali ongezeko la umeme kwa 8.5%.

Kwa Mtendaji Mkuu wa EWURA tangazo la ongezeko hilo lilikuwa ni la kawaida kama ambavyo huko nyuma wamekuwa wakiongeza ama mara nyingine kupunguza bei za umeme, maji, gas, mafuta n.k

"Wakati huo" huko nyuma walifanya kazi kwa mujibu wa taratibu na bila kufikiri athari za nini kitatokea kwa maamuzi wanayo yafanya lakini baada ya tamko lao la jana la kupandisha bei ya umeme na matukio yaliyofuata baada ya tangazo hilo ni wazi kuwa kwa sasa taasisi hii imebaki kwenye "dilema" hawajui kama walikose ama walikuwa sahihi.

Nina mashaka kama kuna umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa taasisi hii kwani kwa sasa hawawezi tena kuwa huru wala hawawezi kufanya kazi kitaalamu na ufanisi bila ku"consult" wanasiasa na wale waliowateua.

Ni maombi yangu kwa Mh. Raisi aangalie upya kama kuna umuhimu tena wa kuwa na taasisi kama EWURA maana kama maamuzi yanayofanywa na EWURA yanawezwa kutenguliwa tu kwa tamko la Waziri ni bora kazi za EWURA zikawa zinafanywa na kitengo tu cha wizara ili kuokoa kodi nyingi tunazotozwa bila sababu za msingi.

Nawatakia heri ya mwaka mpya 2017.

Kinyungu
wananchi walikataa kwamba umeme usipande sasa wao wakitumia vigezo gani.
maana wakipozunguka mikoani hakuna mtu alikubiana nao.

kama gesi ipo nimuhimu kuitumia to the maximum ili kutimuumiza mwananchi maana umeme ukipanda raia wa kawaida ndiye mwathirika mkuu kwa vyovyote vile
 
Kama walipita kwa wadau Na wadau wakapinga walitumia vigezo gani kuidhinisha ongezeko hilo la 8%? Kwamba rais kadanganya au hata wadau wakikataa wao EWURA wakiona kuna ulazima wanaongeza?

Eti mvua zimekuwa chache na hivyo umeme utanunuliwa kwa bei kubwa kwahiyo kuweka mapato sawa wanarudi kwa wananchi.

Shirika linaendeshwa kwa hasara kwanini wajilipe mishahara mikubwa?
 
Hii awamu ya 5 tangu ilipoamuru faru john asijadiliwe nilishaikatia tamaa moja kwa moja , uwezo wao unatia shaka sana !
 
wananchi walikataa kwamba umeme usipande sasa wao wakitumia vigezo gani.
maana wakipozunguka mikoani hakuna mtu alikubiana nao.

kama gesi ipo nimuhimu kuitumia to the maximum ili kutimuumiza mwananchi maana umeme ukipanda raia wa kawaida ndiye mwathirika mkuu kwa vyovyote vile
hivi ili umeme upande ni lazima wanaanchi waridhie kumbe! I wish ingekuwa hivo kwa sembe na mchele maana sasa bei yake ni kama inapaa.
 
kusitishwa bei mpya ya umeme ni vizuri wasiwasi ni huu mfululizo wa matukio kuhusiana na hili. wapi pana mushkeri katika utendaji hasa?
 
Nafikiri kuna haja ya sauti zingine zote zikanyamaza na ibaki sauti moja tu yeye mwenyewe atamke aelekeze afafanue maana kwa huu mtindo wengi hawajielewi Fulani alisema wakitumaliza itakuwa zamu yenu na zamu hiyo naiona
 
Back
Top Bottom