Recent content by pendoharri

  1. pendoharri

    JamiiForums Tanzania Msajili Hazina: Hakuna mtu aliyekuwa akipokea mshahara milioni 40

    [emoji85] [emoji85] eti yule wa Tanapa alikuwa anajilipa shi ngapi vilee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  2. pendoharri

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Antony Lusekelo 'Mzee wa Upako' afunguka baada ya kashfa

    Anesahau kashfa haijibiwi
  3. pendoharri

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Ongera umetengeneza pacha wako wa nje
  4. pendoharri

    JamiiForums Tanzania Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

    Amemwaga mboga mwenzie kamwaga ugali.Ngoma droo
  5. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha fedha ambacho umewahi honga au kuhongwa

    Nilipewa hati ya kiwanja
  6. pendoharri

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa afande sele

    Anapuyanga sana
  7. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje nimsahau?

    Duuuhh tamu lakini fup
  8. pendoharri

    JamiiForums Tanzania GEITA: Diwani asiyejua kusoma wala kuandika asimamishwa baada ya kutohudhuria vikao tangu Disemba

    Tunatakiw kumpa tuzo[emoji3] [emoji3]
  9. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona wasichana wanazaa wakiwa wadogo sana?

    Heri anaezaa kuliko anaetoa mimba.Au wanaojiloga na vizuizi vya mimba.Mwisho wao unakuwaga mbaya
  10. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

    Nipo mimi mnyamwez
  11. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kuwa na wanaume waliokwisha toka kimaisha hivyo wanaishia kuumizwa

    Unakuw namtu kipindi hana kitu unga unga mwana ngoma itie nanga,unamshaur na kumpa maarifa ya kujikwamua ila akipata hayo mafanikio ndio ule msemo wa wahenga unapata nguvu PATA PESA TUJUE TABIA YAKO.bora kukutana na mtu aliyezichanga mtafurahia matunda ya uhuru
  12. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

    Ivi ndoa za zamani kwanini zilidumu?walikuw wanaweka picha kwenye paji la uso[emoji3] [emoji3] [emoji3] najaribu kuwaza kwa sauti
  13. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

    [emoji8]
  14. pendoharri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

    Umenena mkuu.Unawekwa profile na bado watu wanatumia vizuri.Furahia kuwekwa moyoni,uwe mmiliki wa moyo wake.
Back
Top Bottom