Enzi wakati wa Elimu bure ulikua hununui hata daftari kila kitu ilikua bure kuanzia daftar,kalamu ,penseli na hata vile vifaa vya kuchorea na hesabu ambavyo tuliviita kampasi basi ilikua bure.
Na wale wanafunzi wa boarding ulikua unaenda wewe na nguo zako tu mpaka shuka ya kujifunika na...
hawa vijana 6000 ambao wapo katika kambi ya Tunguu iliyopo mkoa wa Kusini Unguja,ambao kazi yao wanapewa mafunzo ya kigaidi na CCM na namna gani ya kuanzisha vurugu katika uchaguzi.Maana imefika mpaka kuwekewa picha ya Maalim Seif na Juma Duni wakaambiwa wajifundishie kulenga shabaha.Jee hili...
Nawaombeni musikilize kauli yake ambayo ameitoa hivi juzi ya kwamba Zanzibar hawatoi nchi hata ikibidi watu kufa wafe tu.Nendeni facebook page ya zanzibar yetu mutaisikia
Video hii inanikumbusha mwaka 2001 kule Pemba, walivyokua wanatie vinyesi visimani na mashuleni halafu wakasingizia wapinzani.Hivi inaingia akilini kweli kisima munacho chota maji mtaani ukakitie kinyesi, nyinyi watu wa mtaani maji mtachota wapi.Hii yote ilikua ni kuhalalisha mauaji...
Napenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.