Kwanini Maalim Seif hakuwepo Mbagala!?

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Habari hii kama ina ukweli, basi watanzania tuna shida!!. Haya sio maneno yangu, ni habari niliyoikuta kwenye Mjadala ambayo imenzsihwa na Bw. Makene>

=============================================================================

......."Maalim Seif ilikuwa aende mbagala pia ila walinzi wake walimuambia kuwa asiende kwa vile polisi walisema no no kwa maandamano na wao kama walinzi wake hawataenda hivyo maalim seif akaacha kwenda lakin prof lipumba yeye NDOHO TAABU "

........ "Vijana wa TZ ambao wamejiunga na Al Shabab wameulizwa bila kushuritishwa walisema wao ni wanachama wa CUF, leo uende kufanya maandamano ya CUF pale zakhem hajui wakati wa maandamano wataambiwa nin kwa siri na viongozi wao na hapo makanisa matatu yaliyochomwa moto yapo hapo mita mia tu kutoka uwanja wa Zakhem, ! Mauaji ya mapadri Znz watuhumiwa wote wa cuf! Hivi vyama inabidi vichunguzwe vizuri vitatumaliza."?

Imeandikwa na Bw. Makene!!

Emmanuel Tamila Makene
20 hrs ·
"...Polisi hata Marekani huwa wanapiga tu! Hata Marekani wameishauwa na watu juzi tu marekan wamepigwa na polisi hadi kufa baada ya kuiba kisha kukimbia na kukataa amri ya polisi kusimama! Cha msingi ni kutii sheria wakisema maandamano no ...usiandamane!

Kwan hata mie nina kesi tatu ambazo ilikuwa lazima wateja wangu washinde, wateja wangu wanadai hela baada ya mauziano ila hakimu akampa ushindi yule tunayemdai. Wateja wangu kidogo wampige hakimu siku ya hukumu nikawaambia watulie tukate tufaa ndio utaratibu kwan hakimu ndio dola ukimpiga yeye hiyo kesi ni balaa.
Hakimu au polisi au Jaji akikuambia no ....ujue ni no labda ukate rufaa. Polisi waliposema no ....hao Cuf wangekjipanga upya kwan Prof Lipumba kusema alikuwa anaenda kuwaambia hao cuf hakuna maandamano ni muongo kwan alipoitisha maandamano alienda uwanjan zakhem? Si aliitisha maandamano hao cuf walitumiana msj tena mwezi kabla,
Pia jaman mie nina nyumba mbagala hadi niliipangisha kuna folen sana kule na watu wengi ,ukiruhusu maandamano pale hata wagonjwa hawapiti na maandamano ya mbagala huwa watu wa cuf wanaiba sana!
Kama maandamano hayo lengo lake nikukumbuka mauaji ya Pemba sasa kwanin hayakufanyika huko Pemba? Manake walisema wanataka kuwafariji wafiwa mbona hawajatafanyia Pemba ambako mauaji yalipotekea? Kwani nini Mbagala? Kwan nini hawajafanyia Kunduchi ambako anakaa Lipumba?

Msijifunge na polisi wa TZ, huko Uingereza, Ulaya yote polisi wanapiga tu, mie nataka niwe mkweli na polisi hupiga wananchi wanaokaidi amri za polisi, mabomu ya machozi sio ya majambazi, mnapaswa mjue hilo someni historia ya polisi duniani mtafahamu hilo. Mtu yeyote mwwnye mamlaka lazima umtii usipomtii yatakukuta! Nenden law school au universities zetu hizi hebu usimtii mwalimu wako uone utakavyosup au hata disco na kufeli sana! Mnyika si alidisco pia pale Mlimani mmesahau. Wale wanafunzi wa sheria Mlimani mnakumbuka mlipojifanya kumfundisha mwalimu wenu Dr Kapori Legal Language eti mkasema anakosea akafelisha 75% ya darasa!
Nenda mahakaman hebu bishana na hakimu uone kama utashinda kesi!! Karani tu bishana nae uone mara file la miradhi halipo mara nini?? Mnadhania hao polisi ni CCM!? Au hao mahakimu au makarani ni CCM? Wala wanaitaji heshima zao katika kazi zao.

Mmemsahau yule wakili aliyebishana na mhudumu wa ndege baada ya kumkatilia mhudumu wa ndege alimwambia azime simu akagoma mbona alishishwa na nauli ikapotea na akachelewa kesi!

Ukitaka ufanikiwe maishani fanya hivyo huu ndio ukweli usimzarau polisi ujue kuna muda ana mamlaka dhidi yako. Na haya masuala hata TZ itawaliwe na nani yapo hivyo hivyo yapo dunia nzima.
Hamis Kingwangala ni mbunge wa CCM mbona polisi walimkamata na kipigo alipata!

Mie mwenyewe naweza kuwapa mfano nilipokuwa kiongozi wa vijana polisi waliwai kunikatalia maandamano tena mgeni Rasmi alikuwa JK hivi akiwa Raisi na barua nilipeleka polisi mwezi kabla ya maandamano wacha hiyo ya cuf ilioenda siku nne kabla ya maandamano na JK aliishakubali kuja kuyapokea maandamano ila OCD alikataa nikakata rufaa kwa RPC nae akagoma basi nikaacha tukafanya mkutano bila maandamano!

Hao Cuf wao wangefanya mkutano bila maandamano! Walishindwa nin! Tatizo wanataka wafanye maandamano ili wakodi mafuso kubeba wahuni njian waibie watu! Kuna watu wanaenda kwenye maandamano kuiba.

mwenye mamlaka ukimdharau yatakupata ya Lipumba. Na kwa taarifa yenu Maalim Seif ilikuwa aende mbagala pia ila walinzi wake walimuambia kuwa asiende kwa vile polisi walisema no no kwa maandamano na wao kama walinzi wake hawataenda hivyo maalim seif akaacha kwenda lakin prof lipumba yeye NDOHO TAABU ....nyamwezi la watu. akajitosa bila busara. Vijana wa TZ ambao wamejiunga na Al Shabab wameulizwa bila kushuritishwa walisema wao ni wanachama wa CUF, leo uende kufanya maandamano ya CUF pale zakhem hajui wakati wa maandamano wataambiwa nin kwa siri na viongozi wao na hapo makanisa matatu yaliyochomwa moto yapo hapo mita mia tu kutoka uwanja wa Zakhem, ! Mauaji ya mapadri Znz watuhumiwa wote wa cuf! Hivi vyama inabidi vichunguzwe vizuri vitatumaliza.

Jiangalien sana nanhuyo Lipumba wenu mwaka 2005 na 2010 alishindwa vibaya sana na JK kwenye uchaguzi mkuu yeye kakimbilia msikitin eti anasema yeye alikubali kura za cuf ziende kwa JK kwa vile ni muisilamu mwenzie wakati miaka yote yeye mwenyewe Lipumba aligombea na hakujiuzulu kugombea urais na kwenye kampeni Lipumba kazunguka nchi nzima na alishindwa. Na video yake ipo you tube. Lipumba ni mdini na muongo kwan JK hajawai kumkubalia jambo ka hilo ndio maana yeye Lipumba aligombea na hakujiuzulu na mabango ya mgombea urais ya cuf alitengeneza nchi nzima.
Heshimuni maelekezo ya wakubwa wenu.
Hata Huyu ZZK alipokaidi amri ya Mbowe usigombee uenyekiti CDM mbona alifukuzwa! Kaenda kuponea mahakaman ambayo ndio rufaa na nafuu yake!
Kafulila pia alijifanya yeye hamtii Mbatia kisa Kafulila ana jimbo na Mbatia hana jimbo, NCCR wakamfukuza akakata rufaa mahakaman!
Hamad Rashid nae hakumtii Maalim et alitaka 2015 agombee Urais wa ZNZ , wakati mgombea wa urais ZNZ ni Maalim hadi afe hivyo Hamad Rashid akafukuzwa cuf kaponea mahakamani!
Prof Safari alitaka uenyekiti wa cuf taifa dhidi ya mtakatifu prof lipumba mbona alizomewa na watu wa cuf na akapata sijui kura nne na akahama na chama akasema hatak kuwasikia cuf milele ila leo yupo nao ktk ukawa wanakula bata mzinga.
Kwa hiyo nawaambia amri ya mtu mwenye mamlaka juu yako lazima uitii hata kama ina makosa ndio maana huwa tunawatii mahakimu au majaji hata kama hukumu ina makosa isipokuwa unakata rufaa kuyapinga maamuzi yake lakin hupaswi kuyakaidi kama wanavyofanya cuf.
Najua Mmefundishwa kuwa amri ya superior wako hupaswi kuitekeleza kama ina makosa au ni illegal ila mim nawaambieni ukweli kuwa lazima uitekeleze ukiacha lazima yakukute tu iwe katika sheria, shule, jamii, siasa, uchumi, msikitini, kanisani, ajira, ndoa, etc. jifunzeni kutii mamlaka ukiona unaonewa kata rufaa au tafuta nafuu nyingine ya kisheria siyo kukaidi amri.

Pia usidhani kuwa mtu mwenye mamlaka dhid yako lazima akupatie haki yako kama ulivyoomba, ....anaweza akakunyima au akaikawiza kwa jinsi anavyoona inafaa yeye kwa sababu zake! Jukumu lako ni kutii maamuzi yake hata kama ni mabaya kwako. Jiulize mara ngapi umemuomba kitu fulani Mungu na hajakupatia mpaka leo hii! Je mbona hujamuacha huyo Mungu na Ijumaa au j2 au jmosi unaenda kusali!!!

Mamlaka ya duniani na mbinguni yamewekwa na huyohuyo Mungu lazima muyatii hata kama hupendi. Mimi sijui sana kuhusu uisilamu ila ukristu upo kwa sababu yesu kristu alikuwa mtii mpaka akasulubishwa, Yesu alifahamu kuwa warumi na wayahudi wanamuhukumu wakati hana kosa, hakuwakaidi alibaki kuwa mtii akijuwa kuwa rufaa yake ni kwa baba na atafufuka. Kama yesu asingekuwa mtii basi ukristu usingekuwwepo hadi leo ingekuwepo dini ya wayahudi bila ukristu kuwepo. Ya Mungu mpeni Mungu, ya Kaisari mpeni Kaisari. Mwenye masikio na asikie."https://www.facebook.com/emmanuel.makene/posts/10205574316187140
 
watu wengine wanashangaza sana kupoteza mda kuandika porojo kubwa namna hii, Maalim seif ni makamo wa Rais ana majukumu mbali mbali atawezaje kuwa pair na lipumba kila anapokuwa Lipumba na yeye nyuma yake, mod thread kama hiz una delete tu.
 
Unapata faida gani kuandika ujinga na uchochezi kama huu hata yanayotokea nchini mwako huyajui
 
Nakumbuka walipoandamana mwaka 2001 Maalim Seif alikuwa nje ya nchi, akina Lipumba walipata kibano peke yao.
 
Sijui kwa nini!!
 
Nakumbuka walipoandamana mwaka 2001 Maalim Seif alikuwa nje ya nchi, akina Lipumba walipata kibano peke yao.

Si kila mda wawe wote maana hata Seif wakati cuf inaanzishwa aliwekwa ndani sana pia Lipumba alikuwa hayupo
 
hahahha, mzigo mzito muachie mnyamwezi. Kila hawa waliberali wakianzisha masoo coincidentally maalim huwa nje ya nchi!!
 
Yule ni m2mish wa serkalhaewez kushrk jamboambalo lko knyumena taratibu za nchi.

Jambo gani ni kinyume na taratibu za Nchi?Maandamano?Yangekuwa ni Haki ya Kilatiba Kweli?
Anfeweza kushiriki vizuri tu km angekuwepo,na hapo ndo ccm na serikali yao wangeingia cha kike kumpiga mabomu makamu wa Kwanza wa Rais Znz.
 
wewe jisenge ukishatoka kufumuliwa unalita uharo wako humu. shezi type. akili kama za mbwa vile. bila shaka hata wewe ni mbwa.

Wakati mwengine huwa sipati jibu kuhusu hawa makapuku wenzangu walioko CCM!

Utamkuta MTU hana mbele wala nyuma, maskini wa kutupwa ambae hata mlo wake mmoja wa kutwa unamshinda lakini bado yuko mstari wa mbele kuwasifia "CHICHIEMU" na kuleta fitna kubwa katika jamii!

MTU kama SADIFA, YAHYA KASIM, ALI KARUME, SHAKA HAMDU kwanamna wanavyopandikiza chuki katika ya jamii ya Zanzibar huwezi kufikiria kuwa hawa watu ni binaadamu! Labda wanaviwiliwili vya binaadamu lakini roho zao ni za mashetani.

Mfano huyu mbwa yahya Kassim anatwambie mtoto wa kaka yake alichinjwa Pemba!!! Jee anaweza akatueleza huyo mtoto wake kabla hajachinjwa tayari alikwisha wauwa watu wangapi kwa risasi!?!? Alitaka watu wa Pemba wamvishe joho la pongezi baada ya kufanya mauwaji ya halaiki.
 
mkuu hawa ccm-majambazi ni watu wa ajabu sana. nawshangaa kwa sababu wengi wanatabu za kupitiliza kuliko hata sisi tusio. suluhisho la huko zanzibar ni moja tu. (waghtasimuuu bihablilah jamighan walatafarakuuu). kinyume cha hapo kuna safari ndefu sana kufikia amani ya kweli.

Wakati mwengine huwa sipati jibu kuhusu hawa makapuku wenzangu walioko CCM!

Utamkuta MTU hana mbele wala nyuma, maskini wa kutupwa ambae hata mlo wake mmoja wa kutwa unamshinda lakini bado yuko mstari wa mbele kuwasifia "CHICHIEMU" na kuleta fitna kubwa katika jamii!

MTU kama SADIFA, YAHYA KASIM, ALI KARUME, SHAKA HAMDU kwanamna wanavyopandikiza chuki katika ya jamii ya Zanzibar huwezi kufikiria kuwa hawa watu ni binaadamu! Labda wanaviwiliwili vya binaadamu lakini roho zao ni za mashetani.

Mfano huyu mbwa yahya Kassim anatwambie mtoto wa kaka yake alichinjwa Pemba!!! Jee anaweza akatueleza huyo mtoto wake kabla hajachinjwa tayari alikwisha wauwa watu wangapi kwa risasi!?!? Alitaka watu wa Pemba wamvishe joho la pongezi baada ya kufanya mauwaji ya halaiki.
 
wewe jisenge ukishatoka kufumuliwa unalita uharo wako humu. shezi type. akili kama za mbwa vile. bila shaka hata wewe ni mbwa.

Yakhee jibu hoja weyeee acha mijitusi utafungiwa hapa. Sema Maalim alikuwa wapi,?
 
Back
Top Bottom