Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Huyu Mwigulu ni muoga sana.
Siyo muoga anajiandalia mazingira ya kuwania uprezidaa
Huyu Mwigulu ni muoga sana.
Napenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
Bulaya Kamanda! Huyo Mzee wa Maskafu a.k.a Mwigulu msaka tonge mbona hakutoa maelezo mazuri kama ya Kamanda Bulaya? Yeye nikujiumauma na kukodoa macha alitaka kujiunga na Makinda waunde TUME! Hatuzitaki tena tume zakifisadi bora KIPORO kuliko tumeNapenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
Napenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
Natamani hao polisi waburutwe mahakamani
Natamani hao polisi waburutwe mahakamani
Nadhani Mwigulu anatafuta kufukuzwa ccm, Ni marufuku kwa mwanaccm kusema ukweli hadharani hata kama kwa kufanya hivyo anadhulika...!!!!
BACK TANGANYIKA
ID za JF za mwigulu zote zipo active! huyu mwigulu sitakaa nimuamini maisha yangu na ya ukoo wangu yote yaliobakia humu duniani mpaka pale atakapojitokeza hadharani na kutuambia kwa nini alimchinja mbwambo na chain saw, kwanini alimmwagia tesha tindikali na kumbabika kwa watu wengine wasio na hatia, kwanini aliingiza video ya lwakatare sauti na kumbamkia ugaidi, kwa nini aliturushia bomu kule arusha! najua hatakiri hadharani lakini Mwenyez Mungu atamsambabishia aibu atakiri kwa vitendo tu! days are numbered