Recent content by Pelekete

  1. P

    Kwa mara ya kwanza natoa pongezi kwa Nape Nnauye

    tangu lini mpumb avu anajali?!
  2. P

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa wanatumbuana wenyewe majipu kabla hawajatumbuliwa

    mmawia nikupe mfano mmoja mmdogo tu diwani wetu hivi juzi kakabidhiwa nyumba kama 10 hivi za kisasa ambazo zilijengwa na kampuni ya barabara dodoma to iringa ambazo walikuwa wakiishi wahandisi wa ujenzi wa barabara hizo kabla hajakabidhiwa nyumba hizo na jamaa wa tan road nyumba hizo zilikuwa na...
  3. P

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa wanatumbuana wenyewe majipu kabla hawajatumbuliwa

    wizi uliokithiri nafkiri ni udhaifu wa madiwani waliowengi ni giza wale wachache wanakula dili na wezi
  4. P

    Kwa TAKUKURU mkoa wa Dodoma

    kijiji cha mtera staff kata ya mtera jimbo la kibakwe wilaya mpwapwa.
  5. P

    Kwa TAKUKURU mkoa wa Dodoma

    Nimecheka sana kuna mtu mmoja wa karibu na hao watuhumiwa(baadhi ya viongozi) eti wanapita kwa wafanya biashara wakubwa kukopa fedha ili wakahonge takukuru kweli siku ya kufa nyani wanajua ndio zama zile ngoja tuone mwisho wao
  6. P

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa wanatumbuana wenyewe majipu kabla hawajatumbuliwa

    nikipata bahati ya kuulizwa leo ni nani aliye ihujumu mtera saccos ikafa basi jibu ni maafisa wa ushirika wilaya ya mpwapwa mmojawapo anaitwa massawe walikuwa wanawaminisha wananchi(wanachama) kuwa saccos ipo salama kumbe kilichokuwa kinaendelea walikuwa wanagawana fedha na viongozi wa wasaccos...
  7. P

    Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa wanatumbuana wenyewe majipu kabla hawajatumbuliwa

    iramba haigusi hata robo halmashauri ya mpwapwa inahitaji nguvu ya waziri mkuu mtandao wa kupiga hela pale ni mkubwa,mkongwe na una nguvu kubwa mno
  8. P

    Mkurugenzi mkuu CRDB mulika tawi la Chamwino Dodoma

    Binafsi nilijua nipo peke yangu kuna siku nikiwa mahali fulani mjadara ulikuwa ni kero tawi la crdb chamwino any way ndivyo tulivyo wa tz siku ya kuomba kazi unatia huruma ngoja uizoee
  9. P

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    baba yako ni baba yako tu hata kama hana ndevu si mama yako keshakuthibitishia.
  10. P

    Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

    panya buku utawajua tu.
  11. P

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    tunae mwalimu jipu hapa shule ya msingi msanga wilaya ya chamwino karibu kabisa na ikulu ndogo ya chamwino dodoma jina lake halisi ni prisca nyonyo alikuwa nyuma yangu kimadarasa anatumia cheti cha dada yake anaitwa stella nyonyo kwahiyo kwa sasa anaitwa stella nyonyo, stella nyonyo origino ni...
  12. P

    Taarifa kwa mkuu jeshi la polisi IGP na RPC Dodoma

    safi sana mkuu pongezi kwako.
  13. P

    Taarifa kwa mkuu jeshi la polisi IGP na RPC Dodoma

    mtuhumiwa bw.Aziz mfanyakazi wa tanesco mtera kafikishwa mahakamani leo asubuhi naishi mpwapwa hapa nilifika mahakamani baada ya kupata taarifa jf kakosa mtu wa kumdhamini yupo gereza la ilolo mpwapwa.
  14. P

    Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa

    Anaelimisha kama Babu yako.
Back
Top Bottom