Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 756
- 322
safi sana kwa taharifa sijui kama itafanyiwa kazi
jeshi la polisi ni zaidi ya ulijuavyo tayari hatua za hawali tumeanza kuziona tutaendelea kuwajuza hapa hapa jukwaani.
safi sana kwa taharifa sijui kama itafanyiwa kazi
Rushwa kubwa kwa viongozo ndani ya Jeshi la polisi sio kosa kwani wengi wao wamewahi au bado wanashiriki.
Umewahi kuhoji utajiri mkubwa walio nao baadhi ya viongozi ndani ya majeshi ikiwemo polisi wameupata wapi ilhali mishahara yao inajulikana.Mbona sheria ziko wazi lakini hazifuatwi?
Ukitaka uone polisi anafukuzwa jaribu kuangalia ana cheo gani?Ukiona cheo chake ni chini ya nyota moja basi ujue huyo atafukuzwa hata kwa kupoteza mia tano ya mtuhumiwa aliyoikabidhi kaunta. Mia tano haiwezi kuwa na mgao kwa Wakubwa wake hivyo hawezi kupata mtetezi.Hapo utaona vyombo vya habari vikiitwa na kupewa taarifa ya kufukuzwa kwa askari kwa kudhalilisha polisi.
Kwa kifupi jeshi la polisi ni kati ya taasisi zinazojitahidi kuchuja kahawa kwenye kikombe cha chai na kumeza majani ya mchaichai yakiwa mazima mazima.
Udhaifu mkubwa unatokana na ukweli kuwa viongozi wa serikali wako bize kutoa maagizo ya kuwashughulikia wapinzani wao wa kisiasa na vyama vya siasa vya upinzani tu.Na kiongozi safi wa dola ni yule anayeonekana kugandamiza demokrasia.
Yapo mengi sana yanayofanyika ya askari wa dogo kukamata wahalifu wa kubwa lakini maocd ,wakuu wa upelelezi na marpc wanamegewa migao minono ili wato maagizo ya kufuta kesi hizo zenye maslahi yatokanayo na rushwa.
Tegeta ESCROL iko kila Idara kwa namna yake.
CCM na serikali yake ndiye mama wa rushwa zote kubwa nchini.
mtuhumiwa bw.Aziz mfanyakazi wa tanesco mtera kafikishwa mahakamani leo asubuhi naishi mpwapwa hapa nilifika mahakamani baada ya kupata taarifa jf kakosa mtu wa kumdhamini yupo gereza la ilolo mpwapwa.safi sana kwa taharifa sijui kama itafanyiwa kazi
Huu ujumbe nimeufowad kwa mmoja wa vigogo wa jeshi la polisi.hivyo taarifa za jamii forum zinafika kwa walengwa