Recent content by peedee dise

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna aina kuu mbili za mke

    Umenifurahisha 🤩🤩eti ..... makubwa haaaahhhhhh
  2. P

    JamiiForums Tanzania Emannuel Macron rais wa Ufaransa, atua kimya kimya na kula Bata na Masela!

    Wahuni wa mbele wanajiachia hadi na prez hatarii
  3. P

    JamiiForums Tanzania Facts chache kuhusu birthday yangu

    Basi sawa Mungu akuuongezee miaka
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mwalimu Mkuu aliyedaiwa kumpa mimba mwanafunzi aachiwa huru. Mwanafunzi adai hamjui aliyempa mimba

    Walimu wawe makini sana wataishia jela bora hata wa shule za binafsi lakini hawa wa serikali wana hali mbaya na nyege nazo ndo hivyo
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Ukiwa na nyege ujui utaenda kuzitolea wapi
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Mapenzi hatari sana Zero naye anaelewa yaliyo mkuta mpaka akaamua kuwa baharia
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Starehe yako ni ipi?

    Kulala
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunavyowagawana watoto wa field maofisini hadi huruma

    Ndo tumshangae😆
  9. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiafrika wana shida gani? Ufahari mpaka kaburini

    Ndo dunia yetu hii
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kawaida ndio wakufanya nao Maisha

    We si ulisema wa kula na kusepa umekumbwa na nini? Au yule Dem wako wa chuo karejea koloni
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kawaida ndio wakufanya nao Maisha

    Zero we utaoa wa aina gani?
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV

    Sijui sababu hata UKIMWI wenyewe sijawahi kupima
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life is not fair, Kuna watu wanafanya mapenzi miaka nenda miaka rudi bila kinga yoyote na hawapati HIV

    Kisayansi kuna asilimia (1)ya watu duniani ambao damu zao hazipati UKIMWI kabisa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Watu Kama Hawa Sio Wa Kuwapa U'rais

    Una maana gani kijana?
Back
Top Bottom