Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Unaambiwa Dunia ya Leo aina ya kwanza ya wanawake uliotaja ni asilimia 5% ya wanawake wote.
Vijana wengi wanakimbia na kuvunja ndoa kwa sababu wanawake wa leo WAMEKENGEUKA.
Lakini naendelea kuwaasa aina ya kwanza ya wanawake bado ipo acheni kukurupukia MATAKO MAKUBWA.
Hayo maneno mawili ya mwisho ndo janga la kitaifa! Sijui nani katuloga! Lkn dah utamu wa kondoo mkia wake bhana! Hahaha wanaume tu wadhaifu sana kwenye hayo madude.