Watu Kama Hawa Sio Wa Kuwapa U'rais

Watu Kama Hawa Sio Wa Kuwapa U'rais

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Watu kama hawa sio wa kuthubutu kuwapa u'rais maana sio kwa machungu haya waliyosoma nayo asee..!!







@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    17.9 KB · Views: 66
Mshukuru Mungu kwa kukuweka hapo ulipo mpaka unajisahau na kuwadhihaki wengine.
Mambo ya social media usiyachukulie serious sana..huo u'serious upeleke kwenu uko ushetu Tandahimba,Mbalizi uko kwenye vikao vya Msiba Chaliangu.
 
Hujajiumba..... Hujafa hujaumbika.
Omba Rehema na toba kwa ajili ya fikra na fahamu zako pia matendo yako
Hujanielewa..Na usiponielewa shida haipo kwangu ila ipo kwako mkuu.
 
We pambana na hali yako bwana, juhudi za mtu ndio zinamfikisha anapotaka kufika haijalishi ametokea hali gani. Mtu wa hivyo anapaswa kupongezwa akifanya makubwa maana njia haikuwa rahisi kwake.
 
We pambana na hali yako bwana, juhudi za mtu ndio zinamfikisha anapotaka kufika haijalishi ametokea hali gani. Mtu wa hivyo anapaswa kupongezwa akifanya makubwa maana njia haikuwa rahisi kwake.
Wameni'quote vibaya mamiloox.
 
Sasa wewe wataka sema mimi hapana kujua Kiswahili?
Kuna sehemu nimemdhihaki uyo dogo??Chain of Igno.....sijui nini?angalia comment ya kwanza kabisa jamaa alichoandika na wengine mmefata ivoivo bila kutafakari,nakuhakikishia ata comment ya mwisho itakua ya ivoivo kwamba nimedhihaki coz ya kwanza ipo ivo..Wala sijadhihaki wakuu mnanihukumu bure.
 
Hujawahi tembea hospital ukaona Wazazi wanavyofariki na kuacha watoto wadogo

Hujui maisha wewe mtoto
 
"Hakika Mwenyezi Mungu ni mkubwa wa kuumba!"
 
Back
Top Bottom