Wanyooshwe mpaka wanyooke! Hakuna wazembe kama wafanyakazi wa umma kama hawawezi kuwahi wa resign kuna vijana wengi sana wanatafuta kazi ambayo wao wanaizembea
Alikuwa wapi asiwajibike siku zote plz mh rais muajibishe kwanza yeye anatafuta pazia la kujifichia ili asiumbuliwe tanesco kumeoza tanzania ni nchi yetu msiyageuze mashirika ya umma shamba la bibi...I HATE HYPOCRITES!
Nadhani imefika wakati kampuni za magazeti zibadili mfumo wa kukimbiza magazeti mikoani na magari na ibuni technology ambayo magazet yatapatikana nchi nzima #rip wote waliopata ajali
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na umri wa mimba yangu kwa anaefahamu tafadhali anisaidie
yeah..kila sehem ina historia yake kutegemea watu walioishi maeneo hayo na activity zilizokuwa zikiendelea ni wa chache wanaokumbuka historia ila wengi wao make up stories ila shavu tu au siyo????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.