Recent content by pedafomu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    hii story inaukweli wowote wadau? ???
  2. P

    JamiiForums Tanzania Virusi katika ndoa

    safi hii nimeipenda
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ok mkuu, nashukuru kwa ushauri na nitaufanyia kazi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mshana ujanijibu kuhusu spacio yangu kwa uzoefu lita moja kwa km ngapi please
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mkuu mshana naomba unijuze kuhusu ulaji wa mafuta kwa gari spacio old model maana gari yangu inatumia mafuta lita kumi kwa km 56,nimejaribu kubadilisha plug na kufanta service nyingine km kuchange oil filter na vingine ila bado inanichangana kwenye ulaji wa mafuta, ushauri wako mkuu, maana...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    kapime DNA mkuu majibu utayapata
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    napita tuuuuuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    Katavi na Njombe bhana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naibu spika mhe. Ndugai ni mzima wa afya wala sio mgonjwa

    pole yake
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mabweni ya Shule ya sekondari Idodi yanateketea kwa moto

    wadau muda huu wanafunzi zaidi ya 180 wanenusulika kuungua moto baada ya bweni lao kuteketea kwa koto wakati wao wakiwa prepo source itv
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nitagombea urais 2015

    anafahaa kwa maono yako
  12. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku wapiga ramli nchi nzima

    Waziri wa mambo ya ndani mh. Mathias Chikawe ametoa tamko la kupiga marufuku wale wote wanaohusika na upigaji ramli kwa nchi nzima kuacha mara moja, ili imetokana na wapiga ramli kuwapotosha na kuwadanganya wateja wao ili kuwa poteza ndugu zetu wenye albinism. Chanzo: TBC habari
  13. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanahitaji Rais mwenye sifa hizi.

    sawasawa tunamsubiria huyo mkuu wa nchi mwenye sifa hizo kama yupo
Back
Top Bottom