Dogo kwa ushauri wangu binafsi naona kwanza tafuta balozi za nchi unataka kwenda ktk ofisi zao hua wanakua na washauri makini sana kutegemeana na aina ya visa unataka.. kama ni ya shule, biashara or anything else..humu utayaoga matusi ya wasiopenda maendeleo yako they just don't give a damn...
Naona JF kuna kaugonjwa wa Ban za upendeleo nshawahi kula ban 2 Humu ndani ya wk 2 pamoja na ustaarabu wangu... hapa saivi na comments mada za watu nikipandisha yangu wanafuta fastaa [emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
August 29, 2017
bomoabomoa imepita kwenye duka la dada wa mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux ambalo lilikuwa linauza bidhaa zake za mavazi ya African Boy.
Fatma ambae ni dada wa Jux alichukua video na kusema “Hii ndio hali niliyoikuta baada ya kufika dukani kwangu leo asubuhi, tumebomolewa bila...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, leo limesema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa watu wasiojulikana utambulisho wao na idadi yao walifika katika ofisi za Mawakili wa IMMMA Advocates wakiwa katika magari mawili na kujifanya ni maaskari na kuwarubuni walinzi na kuondoka nao katika...
Itakua ni life science mazee ambayo ina matawi mengi sana..ila ktk hii naona inahusu zaidi microbiology course ambayo ina deal zaidi na vijidudu ambavyo havionekani kwa macho ya kawaida ila darubini za maabara na uchunguzi wa kina kwa uj umla na inawezekana ni Moja ya course ambayo sio popular...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.