Kimsingi kila Mtanzania na haki ya kutoa maoni. Hebu tuliangalie hili suala la serikali za majimbo, kama kuna mtu anaielewa vema falsafa naomba aweke wazi mawazo yake tuliokuwa hatuijui tuweze kuelewa faida na hasara zake. Kwa vile hiki ndiyo kipindi cha sisi kujenga au kubomoa, ni vema mambo...
Eneo ni zuri na project naipenda kwa vile ndo kimbilio langu la kupambana na umasikini, tatizo ni hiyo bei ya kuchimba hicho kisima. Wadau gani hao mkuu popular? kama unawafahamu washikaji wakuchimba niunganishe nao.
Mkuu Kubota nimezipenda sana makala zako kuhusu ujasiriamali. Mi nataka kuwekeza kwenye kilimo eidha kwa kufuga mbuzi/kuku na au kulima mbogamboga na matunda. Ili kufanikiwa katika hayo, maji ni sehemu muhimu sana. Nilifanya survey ya kuchimba kisima cha maji kwenye kishamba changu ili niyatumie...
Inawezekana kabisa foleni tunayokutana nayo hapa mjini si kwa sababu eti barabara ni nyembamba tu hapana!
Kuna mambo kama vile wasimamia sheria za barabarani (Traffic police) kutojipanga vema kuweka utulivu kwenye barabara zetu. Mfano ukiwa katikati ya mji utawakuta traffic wamekaa kona hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.