Recent content by Pazmanian

  1. Pazmanian

    Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Idea nzuri kama inakupendeza ungeshea nasi hayo maarifa jinsi ya ku modify walau tupate mwanga.
  2. Pazmanian

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Hii ni size ipi?
  3. Pazmanian

    Hongera dereva unayetoa tangazo mwendokasi

    Mkuu umeshirikisha ubongo kufikiri au umeamua wewe mwenyewe tu.
  4. Pazmanian

    Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Jibu kwa hoja mkuu, wacha kebehi za kike.
  5. Pazmanian

    Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Singida inatofauti gani na dom kwenye hali ya hewa? maji chumvi, upepo, baridi, vumbi pamoja na hewa kavu vyote hivi Singida vipo.
  6. Pazmanian

    Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

    Wazo la kula wida kwa nini umeliacha?
  7. Pazmanian

    Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

    Hoja hafifu ikiwa na mawazo ya kipumbavu.
  8. Pazmanian

    Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    The last frontier, hatari sana the battle of moscow. Danger close Fury 1917 Hacksaw ridge
  9. Pazmanian

    Bye bye ios

    Mkuu unamaanisha nini unaposema "kama unavisha simu cover".
  10. Pazmanian

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu link ya oneplus nord N 10.
  11. Pazmanian

    Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

    Yani lite alafu ndio unajifungia chumbani?? achana na hio itakuchelewesha sana kugundua unachotaka kufahamu. Vuta nondo aka Safari lager, mdomoni ladha tamu hizo utakunywa nyingi alafu sasa ndio utapata majibu unayotamani kuyapata.
  12. Pazmanian

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Hub mguu wa nyuma complete na calpa yake swift new.
Back
Top Bottom