Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika.
Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
Mpaka naileta hapa hii issue, maana yake Mimi mwenyewe siamini. Lakini haiondoi ukweli kwamba, mpaka sasa waliojiunga, wanalipwa kabisa. Nimependa comments za baadhi ya wadau wanaosema, issues kama hizi, huwa zipo nchi za wenzetu lakini huku zinaingizwa kinyemela. Siku wakistuka waanzilisha...
Haya ndiyo maswali najiuliza pia, lakini mpaka Sasa huyu mtu na jamaa zake wengine wamelipwa zaidi ya siku 10, maana yake wamesharudisha mitaji Yao, lakini bado wanaendelea kulipwa asilimia 10 zao🤔🙌
Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC).
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii.
Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
Habari za Leo wanaJF.
Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
Mapenzi asilia nini? Ni mahusiano baina ya wapenzi yenye kufuata tamaduni fulani iliyopo kwenye jamii walipo au asili ya jamii wanayotoka wapenzi hao. Mfano, kama wapenzi watachagua kuhusiana kimapenzi kama wamasai, maana yake wataishi kwenye mapenzi Yao kwa kufuata tamaduni za kimasai.
Mapenzi...
Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira ulipotengwa,(referees vanishing spray) Rwanda wao walianza kitambo tu, nasisi tununue poda.
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?
1. Simba bado haijapata strikers wa...
Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo.
Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu...
Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo flani utiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.