Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU amesema mashirika ya umma yanayojiendesha kibiasara bado yanakabiliwa na changamoto kubwa za utendaji, ikiwemo hasara, upungufu wa ukwasi na utegemezi wa mikopo.
Amesema mashirika 22 kati ya 54 yalipata hasara kwa kipindi cha mwaka mmoja...
Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU amesema kuna masuala kadhaa ya sera yanayoweza kuathiri utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yakiwemo mapengo katika sera na sheria za uwekezaji wa umma, pamoja na changamoto za tija katika mashirika na mali za umma.
Amesema...
Wakuu
Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa kuhusu migogoro ya ndoa.
Mmoja anasema, “Ndoa nyingi zinavunjwa na pesa. Bila pesa, mapenzi yanageuka...
Serikali imetakiwa kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa Waraka wa Elimu Na. 24 wa mwaka 2002 unaoweka mwongozo wa utoaji wa adhabu ya viboko shuleni, baada ya kubainika kuwa baadhi ya shule zimekuwa zikikiuka masharti yaliyowekwa.
Jukwaa la Watoto Tanzania limedai kuwa ukiukwaji huo unaweza...
MANCHESTER DERBY KUWAKA OLD TRAFFORD!
Manchester United na Manchester City leo, Septemba 13, 2026, wanakutana katika pambano kali la Ligi Kuu England (EPL), huku macho ya mashabiki wa soka yakielekezwa Old Trafford. Mechi hiyo inapigwa kuanzia saa 12:30 jioni kwa saa za Kiswahili, sawa na saa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imebatilisha uamuzi wa kumfukuza mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St John’s Tanzania (SJUT), Catherine Maganga, kutokana na tuhuma za kufanya udanganyifu katika mtihani, na kuamuru chuo kimrejeshe mara moja katika masomo.
Uamuzi huo umetolewa Septemba...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
Serikali imewapa siku saba wazalishaji wa saruji nchini kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kukabiliana na changamoto ya kupanda kwa bei na upatikanaji wa bidhaa hiyo katika soko.
Magizo hayo yametolewa na ayo yametolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum...
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi huo ni miongoni mwa maamuzi magumu zaidi maishani mwake, akieleza kuwa soka halikuwa kazi tu bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.