Wakuu,
Kuna binti kazini niliamua kumuacha kwa tabia zisizofaa, tumekua na relationship nae kwa miaka mitatu. Nikapata msichana mwingine pale pale kazini ambae ametulia sana na ni wife material, mambo yetu yanaenda vizuri. Huyu Ex itangu nimemuacha ni miezi sita, sasa January mwaka huu...
Unaweza kunisaidia mawazo kuhusu tatizo sugu la ada ya mtoto maana ndilo tatizo lililonileta hapa kuomba ushauri
Hilo la uzinzi lina ngazi ya familia na wazee walishahusika nalo
Kama ingekua ni uzinzi pekee nisingekuja hapa lina mahala pake
Hili LA mtoto ndio limeondoa amani ya nyumba na...
Una akili za kitoto sana
Yaani mgonjwa yupo theatre tayari kwa operation inasubiriwa pesa madaktari waanze na anapumlia mipira useme unaenda kuuza kuwanja Mteja apatikane after two weeks mgonjwa anasubiri tu
Uwe unasoma mawazo ya wenzio kabla hujacoment
Mkuu hata ukimfaham mwanamke kwa miaka kumi anaweza ficha vitu kadhaa na usivifahamu
Hivyo nakubaliana na ww ila tu unaweza chunguza hata miaka mia na usielewe
Watoto wangu tunafanana ukiwaona unaweza kukimbia mbio, na kwetu gumbo zima tumepata mapacha ikiwemo Mimi na hadi Dada zetu
Well, kwa nn unasema nisimwache mke wangu hadi nithibitishe amezini wakati juu umesema in a big picture kuna zinaa?
Kumwacha mke wangu kunatokana na kushindwana kwetu juu ya gharama za malezi ya huyo mto, kuzini hata asingekua na huyo mtoto anaweza kuzini tu
Na pengine hata humu ndani watu...
Duu? Umeenda mbali mkuu
Nikusahihishe tu kwa yafuatayo:-
Argument yangu kubwa ni kuhusu ada ya mtoto na si babake kumuona
Nimeanza kumlipia mtoto akiwa standard 4 ungependa nikutajie gharama?
Ni kubwa mno, sasa anaingia sekondari mimi pia watoto wangu wanatakiwa ada six million wote wawili...
Nisingelazimisha baba Wa mtoto alipe ada kama najua hana uwezo:-
Mkataba ni baba Wa mtoto kulipa ada, wanaume wengi tukiona mzazi mwenzio kaolewa basi unaona kazi ya matunzo sio take tena
Huyu jamaa amekua akimwambia mke hivyo Mara nyingi na mke hulalamika kuhusu hilo Mara nyingi
Kuhusu...
Waheshimiwa habari za mida,
Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana. Lakini pia mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM, Nimeoa na nina watoto wawili, huyu mke wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.