naona raia wa mtwara wangekuwa waadilifu kiasi cha kufanya mwafaka na serikali yao kabla ya kufanya maamuzi magum kama yanayoendelea sasa maana watu wasio na hatia ndio wanaoumia.!
By Paulo
Kilichofanyika baraza la mawaziri ni kubadili mvinyo katika chupa ya zamani na kuweka katika chupa mpya ladha inabaki kuwa ile ile.Serikali ibadili mfumo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.