Recent content by paulivo

  1. paulivo

    Adsense account inauzwa

    ina dolla 9.30 kwa mawasiliano zaid piga namaba 0756716554
  2. paulivo

    website inauzwa

    ndo maana nikaweka mawasiliano apo
  3. paulivo

    website inauzwa

    website ambayo ina adsense ndani yake inauzwa kwa bei chee piga 0756716554
  4. paulivo

    Miliki Blog/Website Ya kisasa kwa bei poa pamoja na Adsense

    Habari wakuu, Tuna design Blog & website za kisasa kwa ajili ya biashara, shule, hotel, kampuni mbalimbali, na matumizi binafsi kwa bei poa kuanzia Tsh.25,000 Hii ni pamoja na Logo moja bure, Adsense+Blog design ni Tsh.50,000 Pamoja na Logo 1 buree. Template zetu ni zenye mwonekano wa kisasa...
  5. paulivo

    VIDEO: Maisha ya Rais Kikwete baada ya kustaafu asema maisha ni mazuri sana

    Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Akizungumza na mwandishi wa BBC Tulanana Bohela kuhusu shughuli anazozifanya kwasasa Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete aliondoka madarakani mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuongoza taifa hilo kwa miaka kumi. Je, wajua anafanya nini siku...
  6. paulivo

    Timu ya taifa ya Chad yajitoa michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2017)

    Timu ya Taifa ya Chad ‘Les Sao’ imejiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon. Taarifa ya kujitoa kwa Chad imetolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) leo baada ya Les Sao kuandika barua ya kujitoka...
  7. paulivo

    Baba amuoa mwanae baada ya madaktari kutoa taarifa kuwa kabakiza siku mbili tu za kuishi duniani

    Poppy-Mai akiwa na baba ake. chanzo ;www.karibunjombe.com
  8. paulivo

    Goli la Mbwana Samatta vs Chad...

    Hili ndilo gori la mbwana sammata VIDEO: GOLI LA MBWANA SAMATTA DHIDI YA CHAD JANA | .
  9. paulivo

    Tanzania vs chad live updates

    mbwana sammata katupia 1 chad 0 dakika 44
  10. paulivo

    Sokwe azaliwa kwa upasuaji....

    ;);););););););););););) Mwana wa Sokwe anaendelea vyema baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida. Sokwe huyo anayetoka upande wa magharibi alizaliwa kupitia upasuaji usio wa kawaida baada ya mamaake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa shinikizo la damu. Alihitaji...
  11. paulivo

    Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    kaka slave naomba msaada VF 685-----IMEI 354459067332114
  12. paulivo

    Tigo yawapa wateja wake huduma ya Whatsapp bure

    Kampuni ya Tigo Tanzania ambayo inaongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali imetangaza huduma ya bure ya WhatsApp kwa watumiaji wa huduma hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni ya simu kutoa ofa ya bure ya mtandao huo wa jamii nchini. Akitangaza upatikanaji bure wa huduma hiyo kwa vyombo vya...
Back
Top Bottom