Sokwe azaliwa kwa upasuaji....

Sokwe azaliwa kwa upasuaji....

paulivo

Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
15
Reaction score
2
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
160223083040_mwana_sokwe_640x360_bbc_nocredit.jpg
Mwana wa Sokwe anaendelea vyema baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.

Sokwe huyo anayetoka upande wa magharibi alizaliwa kupitia upasuaji usio wa kawaida baada ya mamaake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa shinikizo la damu.

Alihitaji msaada wa kupumua,lakini sasa madaktari wanasema hali ya mama na mtoto iko shwari.

160223073105_gorilla_c_section_bristol_640x360_bristolzoo.jpg

Kumekuwa na sokwe wachache waliofanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua duniani,kisa cha hivi majuzi kikiwa kile cha San Diego Safari Park mwaka 2014.

Sokwe huyo aliye na siku 11 alizalishwa na Professa David Cahill ambaye amewazalisha wanawake wengi kupitia upasuaji ,lakini ilikuwa mara yake ya kwanza kumzalisha sokwe.

''Mbali na kuwa na watoto wangu,huu ni ufanisi mkubwa kwangu,kitu ambacho sitoweza kusahau tena,''alisema.
160223074024_gorilla_c_section_bristol_zoo_640x360_bristolzoo.jpg
 
Wazungu watapoteza uhasilia wa wanyama hawa kabisa,miaka yoote wako porini walikuwa wanazaaje?
 
Duuuh!!! Kinachofuata ni Sokwe kuugua kisukari (Diabetes).
 
Back
Top Bottom