Hizo ni mbio za sakafuni tu miaka miwili mingi tutakutana humu humu ndani kila mmoja akiwa ana jilaumu kivyake na tukumbuke ningejua huja mwisho Wa safari tuombeane uzima tu
Kweli we we ni mauza uza umemaliza chuo mwaka wa5 huu mtaani huna kibarua huna ajira anapiga kelele hapa kazi tu na kweli ni kazi maana hujui hatma yako kweli ni kazi
Unamjua mungu wewe acha kulitaja bure jina la mungu wako eti una mwamini hivi unaanzaje kumwamini binadamu mwenzako tena mwanaume mwenzako hujiewi wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.