How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

...Kwenye heading umesema; How Kikwete outsmarted Lowassa: then kwenye content i did not see where/how huyo Kikwete alimu outsmart Lowassa?!
Your argument is fake!

Ni mada endelevu tulia updates zitawekwa and will show you how
 
JK bila Lowassa asingekuwa Rais..!! Hili liko wazi na kila mtu anajua..!!

Lowassa is the Most Genius politicians in Tanzania..!!!
Hovyo sana wewe, mwaka 2005/10 Lowasa alipiga kura mwenyewe? This time tuone kama huyo Lowasa atakuwa Rais mwenyewe
 
Kila kikao cha ccm wanakua na ajenda ya kutafta mchawi yaani wamezidiwa hawana pumzi
 
Na leo kamtaja live kuwa lowassa ndiye mhusika wa Richmond
 
This Game is over..and out!!
 
Wataisoma namba.....Hapa kazi tuu mabadiliko mpelekee kinyonga...Nchi haiwezi kupewa fisadi papa na kundi lake la wezi...Makufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kweli we we ni mauza uza umemaliza chuo mwaka wa5 huu mtaani huna kibarua huna ajira anapiga kelele hapa kazi tu na kweli ni kazi maana hujui hatma yako kweli ni kazi
 
seriously?? nchi mlitaka kuwapa wale vibaka?? hivi mna akili kweli??
 
..mbona wameshapewa vibaka CCM?

..wameshatangazwa washindi kwenye Uraisi na ubunge.

kweli kabisa vibaka wamezidiana ujanja!

huku ukawa kuna akina lowassa, sumaye, kingunge na mbowe kama ccm b

kule kuna akina kikwete, mkapa, magufuli na mwinyi kama ccm a

aliyemweka kikwete madarakani 2005 ni lowassa, kingunge all these years ndie master minder wa uwzi wote wa kura za CCM, sumaye kakaa madarakani kama PM miaka 10!!

ujanja tu!!
 
Nin hakika kizazi cha mtandao ndani ya ccm kimeisha rasmi
 
Kweli we we ni mauza uza umemaliza chuo mwaka wa5 huu mtaani huna kibarua huna ajira anapiga kelele hapa kazi tu na kweli ni kazi maana hujui hatma yako kweli ni kazi

Kwani ukimaliza chuo lazima uajiriwe?
 
This is JF ...respect to Invisible
 
Back
Top Bottom