Recent content by Paulin paul

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ajira yenye utata

    Hyo 4million yote c ni ajira tosha kuliko kuajiriwa hpo,ngozi nyeusi shida mnaamini sana ujira kulko kujitaftia mwenyew ili hali unamtaji wako
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanao wapa hifadhi watoto wao wa kike wanapotoka kwenye ndoa zao zenye migogoro wana nia njema na ndoa zao?

    Mwanamke timamu anapogombana na mume wake hatakiwi kukimbilia kwao aende kwa wakwe zke kama wapo,shemeji zake ama wajomba akashtak kupata suluhu ya ndoa yake kukimbilia kwao ili hali mime hajamchoka na kwenda kumkabidhi kwao hyo ni indiscipline case,wazazi wake wakimpokea BC wapo pmja
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ningekuwa Waziri Mkuu ningemshauri Rais uchaguzi 2020 aufute waliopo madarakani waendelee na nafasi zao

    HV huo n mwil wa mzee wa upako au edit mbona kapukutika hvyo jaman
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Katka maisha MTU lazima ajue kunakupata na kukosa ukipata we shukuru na ukikosa lazma ushukuru pengine kesho utaamka tajiri
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kusema kuwa Mungu amesaidia kupungua kwa Wagonjwa wa Corona ni Dhihaka kwa Mungu na ni Porojo

    MWANADAM ASIYEMUAMINI MUNGU MUUMBAJI ANAMATATIZO
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

    Arusha unapata bila tabu na hyo namb Mbili tunaiita salad zinaoteshwa kwenye maji yasiyokatika kama matindiga zinastaw hatar zinanukia ukipikia na nyam Utataman kumeza na bakul La mboga
Back
Top Bottom