Wanahoja gani hao? Hawana hoja kimsingi, Mbowe hawezi janga barabara, Mbowe anaisimamia serikali ilete maendeleo kwa wana nchi na ndio jukumu la serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi na sio ombi no lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka sheria inayosema anaweza kurithi sio blank words,huyo mtoto sio damu yako how come anakua mrithi?
Kama mama yake kamdanganya kuwa Baba yake ndio kamgharamia vyote mwache aende kwa baba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mali za marehemu huwa ni za watoto,na hata kama mama yao yupo bao ni mali za watoto pekee,na sio vinginevyo hao wengine ni waroho,wezi,dhulumati,huwezi sababisha watoto wa marehemu akaishi maisha magumu ilihali Baba yao alikua ana uwezo sana na ni tajiri ameacha mali, hao ni wakampiga...
Bwana alitoa kweli lakini hajatwaa maana Mungu ana mipango madhubuti na .mwanadamu kabla hajamaliza nae,so shetani ndio ametwaa maana,Mumgu alimuumba Mwanadamu ili naishi amtumikie
Jaji kakalia kuti gani kavu, wakati haki iko wazi,hapo hakuna jinsi Jaji ni mwanadamu kama Mungu aliweka utashi ndani yaJaji itakua ni haki ya lisu kushinda,na ujue tuu kama Mungu aliamua iwe hivyo basi angelishinda tuu maana njia za Mungu sio za Mwanadamu!
Angefanyaje wakati alikua nusu mfu?hivi mbona majanga chuki kwa mwanadamu wenzenu?ima maana Mungu alikosea kumuumba lisu kwamba asingekua na uhalali wa kuishi? Mungu ana mpango madhubuti na kila kiumbe kilichoumbwa nae,na sio maamuzi wa mwanadamu kwamba awepo yeye au asiwepo,uwepo wewe au...
Vijana msome na kuelewa,sio kukariri degree,msioende short cut,hazisaidii ndio maana unakuta vijana wengi hata kutengeneza CV tuu hajui,hata kuandika barua ya kuomba kazi ndi shida kabisa,sijui mnakwama wapi,acheni kushinda Instagram,na mitandao ambayo haiwasaidii,msiweke mawazo katika njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.