Sikubaliani na wewe na ninadhani umeandika kwa sababu haujui muda (time) ni nini in terms of money? Hamna mtu yuko pale akisubiri yeyote aje ili wamtembeze kama unavodai na isitoshe usilinganishe mitambo ya veta na na mitambo iliyoonyeshwa katika kile chuo. Viongozi waliopo wameshindwa...
Kweli viongozi wa CCM hawawezi kufikiri tena! Tanganyika ilikuwa nchi huru, na Zanzibar ilikuwa nchi huru. Kusema kuwa serikali tatu ni gharama kuziendesha ni uwendawazimu! Kila nchi ibaki na uhuru na mamlaka yake, tuungane katika serikali ya Muungano kwa mambo yale tu yaliyoainishwa kuwa ni ya...
Kama kusikiliza kwetu ni kwa mashaka, hata uelewa wetu utakuwa wa mashaka kwa sababu tumejaa ukadakada tu. Mbowe alichokisema ni kwamba inakuwaje mtu aliyechaguliwa na wananchi kwa kura nyingi anakataliwa na watu sita tu ambao wamo WDCs na akaishauri serikali kuwa wajumbe wa mabaraza ya kata...
Bwana wa haki, usimpe mwovu anavyopenda;
Usiruhusu hila zake zifanikiwe, wasije wakajiinua.
Wenye hila wainuapo vichwa vyao; madhara ya midomo yao yawafunike.
Makaa ya moto yadondoke juu yao, watupwe motoni, katika mashimo ya tope, wasiweze kusimama tena.
''MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi...
Lwakatare hana kesi, hata ukipitia makosa manne ambayo wamembabikizia, hayawezi kuthibitishwa kwenye mahakama yoyote ile. Kadiri siku zinavyokwenda waache hawa watawala ghadhabu ya mwenye haki izidi kuwaadhibu na wataaibika sana katika uso wa ulimwengu huu!
Kwa wale ambao wamekuwepo Tanzania na kufuatilia namna na jinsi mwenendo wa siasa za Tanzania unavyoenda Tangia kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2010, watawala wetu na chama tawala wamekuwa na wakati mgumu sana mpaka dakika hii.
Si mara moja katika mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya chama...
Nimejaribu kuifungua clip hii lakini sijafanikiwa. Nimejaribu kujikumbusha mambo kadhaa hapo nyuma hasa ya mauaji na nimeconclude moja tu! Mkakati wa CCM unaendelea na haujafanikiwa. Ikumbukwe Mwangosi alipouawa ilisemekana wafuasi wa CHADEMA walimlipua kwa bomu! Baada ya picha na video kuwa...
Historia anayotaka kuijenga itamhukumu Mwenyewe na wale wanaoshabikia upofu huu wakati utakapofika ndipo watakapogundua kuwa walichokuwa wamelenga kimewaingiza kaburini na huko ndiko kutakuwa kilio na kukereza meno! Just wait, time will reveal the truth for short sighted leaders and their...
Ukiona mtu anatumia nafsi yake ya chini kufikri na anapinga ukweli unaoihusu Ikulu, mpe tano tu maana hana utambuzi tena acha aenjoy hiyo pay ya kukaa kwenye keyboard na kukanusha ukweli but as time goes on wakati wa kusulubiwa yeye na kizazi chake ndo atajua ni namna gani alikuwa zuzu kwa...
Soma nini yalikuwa malengo ya Abja 1978 utajua nini anakifanya JK na ukimya si kwamba hajui bali ni kuhakikisha malengo yanatimia ila asipokuwa makini aangalie asije ishia ile mahakma ya Kimataifa.....the eg
Kuna vituko kweli Tanzania! Hivi kweli CCM hamuoni kuwa mnajiaibisha mbele ya Watanzania? Ni kanuni ipi ya bunge spika anatumia kufuta kabisa hoja binafsi? Hata kama ni kubaka demokrasia si kwa jinsi hii. Inasikitisha kuona mtu mzima hakubali kukosolewa na hakubali kuelimisha akijua fika kuwa...
Hamna kitu kibaya kujiona wewe ni bora kuliko binadamu wengine na mawazo mazuri zaidi ya binadamu wengine wote waliowahi kuishi katika ulimwengu huu. Kauli ya huyu Mkurugenzi inadhihirisha kuwa yeye ni bora zaidi na mawazo yake ni bora zaidi ya wengine. Issue inayohusu maslahi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.