Recent content by Paul Aloyce

  1. Paul Aloyce

    Uzushi wenye utata kuhusu diamond platnumz

    Sijaisoma yote ila nina cha kurekebisha mkuu. Ukisema kwann wengine nao wasitumie ndumba wawe kama Mond unakosea sana. Watu wana imani zao zinazowalinda, na ndumba ni kinyume na imani za dini. Walioshikilia imani zao hawajitesi na uchawi ili wawe juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Paul Aloyce

    Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    Yap! Majina tunayopewa tukibatizwa au kuslim yana misingi ya mitume na manabii ambao ndio Watakatifu kwa kuwa tunaandaliwa kuwa Watakatifu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Paul Aloyce

    Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    Watu wameshaanza kuleta hisia za dini! Hii mada ni ya kweli kabisa! Kikubwa ni kujitafakari aidha tubaki na tamaduni za kigeni au tuishikilie tamaduni yetu ya Africa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Paul Aloyce

    Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

    Tatizo ni kutokujuana vizur kabla ya kuoana! Wanawake wengi ck hz wanaolewa kama fashen lkn wana watu wao wa pembeni ambao hawataki kuwaoa ila wanapewa mahaba tu! Dunia sasa imekwisha sana, wanawake wanajihusisha na uchafu wa kila aina na hii hutokana na marafiki wanaochagua kuwa nao Sent using...
  5. Paul Aloyce

    LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu

    Noma sana aisee! Kwani hivi vivest si sehemu nyng vinavaliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Paul Aloyce

    We unapenda akuiteje?

    Mimi aniite Mme wanguuuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom