Jamani mmenishambulia weee. Lakini kiukweli naweza kusema mm ndio mwenye makosa. Lakini kitu kilicgotokea ni kwamba hapa nyuma sikua na maelewano mazuri ambayo yalipeleka kunisaliti na mm kwa wakati uo nikachukua uamuzi wa kua na huyu mchepuko. Lakini baadaye tukaa na kuelewana. Na huyu mchepuko...
Ushauri please. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mimi kwao najulikana.
Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4.
Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mimi.
Na mimi roho yangu kumuacha...
Nilikuwa sijawahi kuona shida za kuishi na mwanamke mjamzito. Duh hii noma. Kila mimba inavyozidi kukua ndio hali inabadilika.
Alianza kukataa baadhi ya vyakula ila kwa sasa hanipendi kabisa, eti anajifungia chumbani hataki kuniona kabisa. Inanibidi nilale sebuleni. Yaani kiujumla toka jana...
Kuna baadhi ya wanawake wapuuzi sana. Unakuta anajua kabisa mfukoni unamiliki buku yaani elfu moja ya ki Tanzania alafu anakwambia mashuka yamechakaa nipe laki moja nikanunue kesho nikienda M city.
Naombeni kuuliza, hivi kuna maana yeyote ya kumpigia simu demu wako wa zamani ukiwa na mpenzi wako wa sasa eti kuthibitisha kua mmeachana na huyo demu wako wa zamani kwa demu wako mpya.
Wewe kama wewe unaweza fanya hivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.