Hii kitu ni zaidi ya hekaya. Mtunzi hatari sana. Ana psychological capture ya wasomaji plus chronological pray of scenes related to the current events of the company.
Tumeshuhudia raisi John Pombe Magufuri akichukua hatua mbali mbali katika kuijenga upya Tanzania. Uteuzi wake wa viongozi ktk nafasi mbalimbali unaonesha waziwazi anataka mabadiriko na maendeleo yapatikane hasa kwa mwananchi wa kawaida.
Naona ni wakati muhafaka sisi watanzania ndani na nje ya...
Raisi wetu anafanya Kazi nzuri. Kamteua Waziri Mkuu mchapakazi na Kazi ya Ujenzi Wa taifa tunaiona. Tunamuunga Mkono Na tunamuombea. Naamini atatufikisha watanzania tunapotaka. Mungu ibariki Tanzania.
alipresent hoja endelevu na champion wa matumaini mapya kwa vijana.
Usanii unahitaji ubunifu na kufanyia utafiti mambo mengi ya kijamii, uchumi na siasa.
ZEMBWELA kajipanga.
Salute bro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.